Kuelekea mechi ya CAFCC | Simba SC dhidi ya ASEC Mimosas SC, mechi kubwa kwa timu kubwa

Shida yetu watanzania mpira tumeufanya kuwa uadui na sio mchezo wa kuliunganisha Taifa Kama dhana ya michezo ilivyo!!

Mechi za kimataifa tungeungana kushangilia timu za nyumbani,, then domestic league kila mtu apambane na hali yake,, utakuja kuona mautopolo yamevaa jezi za Chama tawala afu yanashabikia wageni!!

Utopolo mtakuwa na akili lini?
 
Jibu swali,gazeti reeefu hamna hata kombe moja la kimataifa. au tuwaite wasindikizaji wa kimataifa
 
Movie la kutisha hili msiruhusu watoto wadogo kusogelea azam tv kwani kuna jitu litatapakaa damu mwili mzima kwa kipigo hiyo saa 10 jioni!
 
Simba Leo anashinda NNE bila, mark my words
 
Nimesema msiruhusu watoto wadogo kuangalia tv jioni ya leo kwani jitu linaenda kucharangwa mwili na damu kutapakaa....
 
Hivi amjifunzi!,tangia misimu iliyopita mechi za kimataifa mmekua na muendelezo wa kuombea mabaya Simba lakini mwisho wa siku Simba inafika mbali.
Hamna mkuu.......sisi tuna sema ukweli uliopo .....now Simba mna kikosi .....kauka nikuvae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…