Kuelekea mechi ya CAFCC | Simba SC dhidi ya ASEC Mimosas SC, mechi kubwa kwa timu kubwa

Kuelekea mechi ya CAFCC | Simba SC dhidi ya ASEC Mimosas SC, mechi kubwa kwa timu kubwa

Chukua hii ninachojua na Kazi ndiyo tumetoka Kuimaliza sasa japo nikiri ilikuwa ni Nzito kwani Jamaa ( Asec Mimosa ) nao ni Wazima na Wazito kwa Unyangindo ( Uchawi ) ila kuna mahala tumewaweza.

Simba SC anashinda Goli 1 kwa 0 au Goli 2 kwa 0 au Goli 3 kwa 1 japo kuna Uwezekano Mchezaji Kuumia na kuna Kitu kitatokea Uwanjani ila msiogope, msishangae na muwe Wavumilivu nacho.

Mafia wa Soka na Simba SC tumerejea!!

Cc: Bujibuji Simba Nyanaume
Yani pamoja na kazi kuimaliza lakini bado una kisia idadi ya magoli?
 
Ndoto kama hizi sio za kuzipuuza ni muhimu kuzisikiliza

Siba guvu moya
 
Simba ina kikosi kipana! Hata bila ya huyo mtukutu Morrison, bado ina uwezo wa kumkalisha Asec pale kwa machinjioni kwa Mkapa! [emoji3062]
Vp mzee kagere na mzee boko ......mnawahesabia kwenye hicho kikos kipana?
 
Back
Top Bottom