vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Kwa mechi kadhaa nyuma, Yanga ilikuwa ikipewa nafasi kubwa ya kushinda na makampuni ya kamari, lakini safari hii hali imekuwa tofauti.
Watu wakiamini Yanga ni bora kuliko Simba, watu wakiamini kuwa Yanga ina wachezaji wengi bora kuliko Simba lakini kwa makampuni ya kamari yamefanya uchambuzi tofauti, pengine wameangalia kwa jicho la kinyume nyume ( kwenye derby aliyeko bora ndiye anayefungwa)
Nini maoni yako mdau wa soka