Kuelekea mechi ya derby Simba yapewa nafasi kubwa ya ushindi

Hii gemu nimeona sehemu ni droo yoyote ile ya mabao au 0-0!!!###BabuFyeeZeelaCuba####🏊🏊🏊🏊
Kwa mara ya mwisho ulishuhudia lini Yanga ikitoka uwanjani baada ya dakika 90 na matokeo ya 0-0? Naomba majibu tafadhali.
 
Umeanza kushabikia mpira leo bila shaka.

Mechi tano za mwisho drop 4,ya ga kashinda moja.

Mnakurupuka mkishakunywa mataptap yenu huko,mashabiki oya oya mnakuja humu kujidai Ni magreti thinka.

Fuatilia mpira na ligi , na ujiridhishe unachoandika.

Lete statistics za mechi tano za ligi Kati ya Simba na Yanga. Za kwako ulizo nazo.
Screenshot_20230415-185902.jpg
 
Kwa mara ya mwisho ulishuhudia lini Yanga ikitoka uwanjani baada ya dakika 90 na matokeo ya 0-0? Naomba majibu tafadhali.
Umeanza kushabikia mpira leo bila shaka.

Mechi tano za mwisho drop 4,ya ga kashinda moja.

Mnakurupuka mkishakunywa mataptap yenu huko,mashabiki oya oya mnakuja humu kujidai Ni magreti thinka.

Fuatilia mpira na ligi , na ujiridhishe unachoandika.

Lete statistics za mechi tano za ligi Kati ya Simba na Yanga. Za kwako ulizo nazo. View attachment 2588858
Wewe kweli ni mbumbumbu! Ungetulia kwanza na kusoma nilichoandika kwenye maelezo yangu, usingekimbilia kuni quote na kuja na huu utumbo wako hapa.

Mimi nimeongelea mechi za Yanga kwa ujumla wake! Wewe unanilitea habari za mechi za Yanga na timu yako ya simba!

Kwenye hayo maelezo yangu hapo juu kuna sehemu nimeitaja timu yako ya simba? Au nimeongelea mechi alizocheza Yanga kwa ujumla?
 
Back
Top Bottom