Kwa mara ya mwisho ulishuhudia lini Yanga ikitoka uwanjani baada ya dakika 90 na matokeo ya 0-0? Naomba majibu tafadhali.Hii gemu nimeona sehemu ni droo yoyote ile ya mabao au 0-0!!!###BabuFyeeZeelaCuba####ππππ
Nasisitiza, IGEUZEAcha mara moja kubishana na matokeo
nishasema nampa Yanga mzeebabaIwekee Simba goli 2 hautajutia. Asante. Wewe Beti kishabiki home kitakachokukuta.
NB:Simba itashinda hii mechi.
Umeanza kushabikia mpira leo bila shaka.Kwa mara ya mwisho ulishuhudia lini Yanga ikitoka uwanjani baada ya dakika 90 na matokeo ya 0-0? Naomba majibu tafadhali.
Kwa mara ya mwisho ulishuhudia lini Yanga ikitoka uwanjani baada ya dakika 90 na matokeo ya 0-0? Naomba majibu tafadhali.
Wewe kweli ni mbumbumbu! Ungetulia kwanza na kusoma nilichoandika kwenye maelezo yangu, usingekimbilia kuni quote na kuja na huu utumbo wako hapa.Umeanza kushabikia mpira leo bila shaka.
Mechi tano za mwisho drop 4,ya ga kashinda moja.
Mnakurupuka mkishakunywa mataptap yenu huko,mashabiki oya oya mnakuja humu kujidai Ni magreti thinka.
Fuatilia mpira na ligi , na ujiridhishe unachoandika.
Lete statistics za mechi tano za ligi Kati ya Simba na Yanga. Za kwako ulizo nazo. View attachment 2588858