Kuelekea Mechi ya Ngao ya Jamii August 13, 2022

mzee wa bwaksi

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
2,255
Reaction score
3,972
Wadau wa kabumbu tumeshuhudia timu zetu pendwa Simba na Yanga zikicheza Mechi za kirafiki. Kwa viwango vilichooneshwa na timu hizo unadhani nani anaenda kuteseka hiyo tarehe 13/08/2022?
 
Kuwa huu mwaka ni Unstoppable.. ngoja tuone
 

atakae bisha abishane na namba au rank ya CAF
 
Umetisha MWANANCHI. Una maanisha tabu inaendelea palepale ilipoishia msimu ulioisha si ndio
 
simba wakiingia kwenye game na yanga kwa akili za kuwa aaaaah kafungwa huyu na vipers juz juz tu,atapasuka vibaya
 
Ukiangalia ubora wa vikosi vyote viwili basi utakubaliana na mimi kuwa kikosi cha yanga ni bora zaidi kuliko kikosi cha simba,(Achana na matokeo ya mabonanza yao) na yanga sc itakuwa na possibility kubwa ya kutoka na ushindi dhidi ya Simba sc.

Note: miongoni mwa game mbovu ambazo huwa zinatokea Tanzania basi ni Mechi kati ya Simba Vs Yanga, utulivu wa soka huwa unakosekana badala yake mechi inakuwa ya kukamiana, kupaniki na uchawi wa kijinga kijinga.
Matumaini yangu tarehe 13 nikuona timu hizo mbili zikicheza mpira na siyo kupiga mpira.
 
Rage akiwaambia ni mbumbumbu huwa mnaanza kutukana.
 
Kwani bingwa wa nchi ambazo hizo timu zinapatina ni nani? Tuanzie hapo kwanza
 
Lakini mkuu we unaona usajili mpya wa Yanga utaweza ku perform kwenye Mechi kubwa kama hii ya daby Kama wameshindwa kuperform kwenye friendly Mechi juzi na Vipers?
 
Bao la mwanza haliwatoshi tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ