mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
Wadau wa kabumbu tumeshuhudia timu zetu pendwa Simba na Yanga zikicheza Mechi za kirafiki. Kwa viwango vilichooneshwa na timu hizo unadhani nani anaenda kuteseka hiyo tarehe 13/08/2022?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa huu mwaka ni Unstoppable.. ngoja tuoneAu wewe yanga???
Kuna mmoja kacheza na st george ya ethiopia kashinda
Kuna mtu kacheza na vipers ya uganda kashindwa
St george ipo juu ya rank za caf kwa ubora kuliko vipers
Basi hitimisho yanga atakuwa vizuri kuliko simba[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Au wewe yanga???

Kuwa aliyeko juu kwenye rank ya caf ndio atakashinda. Kwa maana nyingine washabiki wa Yanga wabakie nyumban tu waoshe vyomboatakae bisha abishane na namba au rank ya CAF
Umetisha MWANANCHI. Una maanisha tabu inaendelea palepale ilipoishia msimu ulioisha si ndioTathimini yangu kutokana na ukongwe wa uchambuzi kutoka hapa tukuyu.....mbeya
Simba imecheza na timu kutoka Ethiopia..(timu ya waimba kwaya)..wote tunajua kuwa Ethiopia hamna soka Kuna Vita so hakikuwa kipimo sahihi kwa mnyama .....
Kwasisi wataalamu tunasema Simba kapiga bomu mochwari.....( Kaingia kwenye pango la popo bawa kinyume nyume[emoji23][emoji23]
Tathimini kwa YANGA ( wananchi)
Yanga imecheza na vipers kutoka Uganda ......nadhani Uganda inajulikana kwa soka hapa EAC......then wamefungwa so wamepata pa kurekebisha na kijifunza mengi
So yanga wamejifunza mengi ( congratulations kwao)
Tukija kwenye mechi ..... YANGA ataibuka bingwa....
All in all ..... Simba ( kolo) wameua kwenye sherehe yao......ukiondoa ile kuja na jeneza uwanjani ....(ushamba)
Ndio mkuu......ila itaongezeka zaidiUmetisha MWANANCHI. Una maanisha tabu inaendelea palepale ilipoishia msimu ulioisha si ndio
Ila mkuu kama Vipers amekugongesha 2-0, huoni mnyama mkali anaweza kukupasua 5 kabisaa na vile pale mbele Kuna straika wa Dunia Dejan mzunguNdio mkuu......ila itaongezeka zaidi
Tukuyu sehemu gani mkuuTathimini yangu kutokana na ukongwe wa uchambuzi kutoka hapa tukuyu.....mbeya
Simba wameua.. kwenye sherehe yao
Mechi ya watani wa jadi huwaga haina cha mdogo mkuusimba wakiingia kwenye game na yanga kwa akili za kuwa aaaaah kafungwa huyu na vipers juz juz tu,atapasuka vibaya
Rage akiwaambia ni mbumbumbu huwa mnaanza kutukana.Au wewe yanga???
Kuna mmoja kacheza na st george ya ethiopia kashinda
Kuna mtu kacheza na vipers ya uganda kashindwa
St george ipo juu ya rank za caf kwa ubora kuliko vipers
Basi hitimisho yanga atakuwa vizuri kuliko simba[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Punguza mbwembwe, hapo hakuna timu ya kumfunga Yanga.Ila mkuu kama Vipers amekugongesha 2-0, huoni mnyama mkali anaweza kukupasua 5 kabisaa na vile pale mbele Kuna straika wa Dunia Dejan mzungu
Lakini mkuu we unaona usajili mpya wa Yanga utaweza ku perform kwenye Mechi kubwa kama hii ya daby Kama wameshindwa kuperform kwenye friendly Mechi juzi na Vipers?Ukiangalia ubora wa vikosi vyote viwili basi utakubaliana na mimi kuwa kikosi cha yanga ni bora zaidi kuliko kikosi cha simba,(Achana na matokeo ya mabonanza yao) na yanga sc itakuwa na possibility kubwa ya kutoka na ushindi dhidi ya Simba sc.
Note: miongoni mwa game mbovu ambazo huwa zinatokea Tanzania basi ni Mechi kati ya Simba Vs Yanga, utulivu wa soka huwa unakosekana badala yake mechi inakuwa ya kukamiana, kupaniki na uchawi wa kijinga kijinga.
Matumaini yangu tarehe 13 nikuona timu hizo mbili zikicheza mpira na siyo kupiga mpira.
Bao la mwanza haliwatoshi tu 😂😂😂Au wewe yanga???
Kuna mmoja kacheza na st george ya ethiopia kashinda
Kuna mtu kacheza na vipers ya uganda kashindwa
St george ipo juu ya rank za caf kwa ubora kuliko vipers
Basi hitimisho yanga atakuwa vizuri kuliko simba😁😁😁😁