Kuelekea Mechi ya Ngao ya Jamii August 13, 2022

mzee wa bwaksi

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
2,255
Reaction score
3,972
Wadau wa kabumbu tumeshuhudia timu zetu pendwa Simba na Yanga zikicheza Mechi za kirafiki. Kwa viwango vilichooneshwa na timu hizo unadhani nani anaenda kuteseka hiyo tarehe 13/08/2022?
 
Au wewe yanga???

Kuna mmoja kacheza na st george ya ethiopia kashinda

Kuna mtu kacheza na vipers ya uganda kashindwa

St george ipo juu ya rank za caf kwa ubora kuliko vipers

Basi hitimisho yanga atakuwa vizuri kuliko simba[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kuwa huu mwaka ni Unstoppable.. ngoja tuone
 
Au wewe yanga???

Kuna mmoja kacheza na st george ya ethiopia kashinda

Kuna mtu kacheza na vipers ya uganda kashindwa

St george ipo juu ya rank za caf kwa ubora kuliko vipers

Basi hitimisho yanga atakuwa vizuri kuliko simba[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

atakae bisha abishane na namba au rank ya CAF
 
Tathimini yangu kutokana na ukongwe wa uchambuzi kutoka hapa tukuyu.....mbeya

Simba imecheza na timu kutoka Ethiopia..(timu ya waimba kwaya)..wote tunajua kuwa Ethiopia hamna soka Kuna Vita so hakikuwa kipimo sahihi kwa mnyama .....

Kwasisi wataalamu tunasema Simba kapiga bomu mochwari.....( Kaingia kwenye pango la popo bawa kinyume nyume[emoji23][emoji23]

Tathimini kwa YANGA ( wananchi)

Yanga imecheza na vipers kutoka Uganda ......nadhani Uganda inajulikana kwa soka hapa EAC......then wamefungwa so wamepata pa kurekebisha na kijifunza mengi

So yanga wamejifunza mengi ( congratulations kwao)

Tukija kwenye mechi ..... YANGA ataibuka bingwa....

All in all ..... Simba ( kolo) wameua kwenye sherehe yao......ukiondoa ile kuja na jeneza uwanjani ....(ushamba)
Umetisha MWANANCHI. Una maanisha tabu inaendelea palepale ilipoishia msimu ulioisha si ndio
 
simba wakiingia kwenye game na yanga kwa akili za kuwa aaaaah kafungwa huyu na vipers juz juz tu,atapasuka vibaya
 
Ukiangalia ubora wa vikosi vyote viwili basi utakubaliana na mimi kuwa kikosi cha yanga ni bora zaidi kuliko kikosi cha simba,(Achana na matokeo ya mabonanza yao) na yanga sc itakuwa na possibility kubwa ya kutoka na ushindi dhidi ya Simba sc.

Note: miongoni mwa game mbovu ambazo huwa zinatokea Tanzania basi ni Mechi kati ya Simba Vs Yanga, utulivu wa soka huwa unakosekana badala yake mechi inakuwa ya kukamiana, kupaniki na uchawi wa kijinga kijinga.
Matumaini yangu tarehe 13 nikuona timu hizo mbili zikicheza mpira na siyo kupiga mpira.
 
Au wewe yanga???

Kuna mmoja kacheza na st george ya ethiopia kashinda

Kuna mtu kacheza na vipers ya uganda kashindwa

St george ipo juu ya rank za caf kwa ubora kuliko vipers

Basi hitimisho yanga atakuwa vizuri kuliko simba[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Rage akiwaambia ni mbumbumbu huwa mnaanza kutukana.
 
Kwani bingwa wa nchi ambazo hizo timu zinapatina ni nani? Tuanzie hapo kwanza
 
Ukiangalia ubora wa vikosi vyote viwili basi utakubaliana na mimi kuwa kikosi cha yanga ni bora zaidi kuliko kikosi cha simba,(Achana na matokeo ya mabonanza yao) na yanga sc itakuwa na possibility kubwa ya kutoka na ushindi dhidi ya Simba sc.

Note: miongoni mwa game mbovu ambazo huwa zinatokea Tanzania basi ni Mechi kati ya Simba Vs Yanga, utulivu wa soka huwa unakosekana badala yake mechi inakuwa ya kukamiana, kupaniki na uchawi wa kijinga kijinga.
Matumaini yangu tarehe 13 nikuona timu hizo mbili zikicheza mpira na siyo kupiga mpira.
Lakini mkuu we unaona usajili mpya wa Yanga utaweza ku perform kwenye Mechi kubwa kama hii ya daby Kama wameshindwa kuperform kwenye friendly Mechi juzi na Vipers?
 
Au wewe yanga???

Kuna mmoja kacheza na st george ya ethiopia kashinda

Kuna mtu kacheza na vipers ya uganda kashindwa

St george ipo juu ya rank za caf kwa ubora kuliko vipers

Basi hitimisho yanga atakuwa vizuri kuliko simba😁😁😁😁
Bao la mwanza haliwatoshi tu 😂😂😂
 
Back
Top Bottom