Kuelekea Mei Mosi 2022: Rais Samia, Waokoe Watumishi wako Dhidi ya Dhulma Kali ya Makato ya Lazima ya Mshahara kutoka kwa Vyama vya Wafanyakazi

Kuelekea Mei Mosi 2022: Rais Samia, Waokoe Watumishi wako Dhidi ya Dhulma Kali ya Makato ya Lazima ya Mshahara kutoka kwa Vyama vya Wafanyakazi

Hii sio ada ya uwakala, ni kodi! Haiwezekan uwakate unao wawakilisha kwa viwango tofauti kwa kazi ileile ya uwakala.. watumishi nchi hii tunaonekana mabwege
Nimecheka Sana hii komenti ukweli watumishi wa umma tumekuwa Mazuzu na Mazombi halafu hatuna wa kutusemea Wala kutusaidia ...

Na hapo ukute tatizo limeanzishwa na mwanasiasa then anaombwa atatue huyohuyo muanzishaji wakati ndio mnufaika .... never...

Walimu tuna CWT Sijui hela wanayokata ya nn halafu wanakata kwa mtindo uleule wa kutomuhusisha mwenye Mshahara...upumbavu
 
Halafu nikawa mwajiri wao halafu nikawakimbia waendelee kuteseka kama wewe, maana hamnaga akili
Basi kama wewe Ni Mwajiri, mpe basi hata sekretari wako awe anakusomea ndio unatoa maoni yako.

Maana naona unajibu kitu ambacho hujasoma, kama uko shirika la umma ndio maana ufanisi huwa Ni 12% kwa kuwa na watu wa aina yako.
 
Sawa ticha pambana na makato yako
 
TUCTA imekuwa ndio mnufaika no.1 wa michango ya wafanyakazi, sio wateteaji wa haki za wafanyakazi zaidi ya kupenda kula na kujinufaisha. Bora vyama hivi vifutwe tu
Tucta ,Cwt,Chahakama na upuuzi mwingine ni ubatili mtupu ..

Halafu mwanasiasa anapokea 12m bila makato
 
Sawa mfanyakazi wa shirika la umma ambalo halijawahi kupata faida tangu Dunia iumbwe zaidi ya kuishi kwa Ruzuku kutoka vyanzo vingine.
Karibu tunaajiri walimu pia ila GPA iwe inasoma 4+
 
Kuea mwanachama wa Vyama vya Wafanyakazi ni HIYARI sio lazima.

Kama ukiona havina nafasi katika ajira yako unaweza kujitoa na ukawa HURU.

Ukumbuke hivi vyama vimeingia kwenye siasa na kujiondoa kwenye falsafa ya kumtetea mfanyakazi na vimekuwa kama daraja la kuingia kwenye siasa.

Sioni kama kuna chama kinachoweza kujitanabahisha kwamba kimetetea maslahi ya mfanyakazi mnyonge, HAKUNA.

Unachangia kila mwezi na mwisho wa mwaka unaambulia Tshirt na kofia! Makato yenyewe ni makubwa na hayaakisi michango wanayokata!

Hawa wamekuwa ni wanyonyaji na wala sio watetezi wa wanyonge.
Fact kabisa, vyama vya wafanyakazi Tanzania havina msaada wowote, ni wanyonyaji tu. Hivi haiwezekani kulazimisha kuachana navyo? Vinatusababishia makato yasiokua na maana yoyote.
 
Fact kabisa, vyama vya wafanyakazi Tanzania havina msaada wowote, ni wanyonyaji tu. Hivi haiwezekani kulazimisha kuachana navyo? Vinatusababishia makato yasiokua na maana yoyote.
Nafikiri viwe completely hiari. Hili suala la Makato tena kwa LAZIMA halifai hata kidogo.
 
Back
Top Bottom