Tetesi: Kuelekea Mkutano Mkuu wa CCM: Mbunge, Wajumbe na Katibu wa Mikoa wa Upinzani kujiunga CCM

Labda mm sijaelewa mtu anataka kuhamia kwenye chama mnongea naye nn maana kama mnafanya naye makubaliano maana yake nikama mnaingia naye mikataba na sio hiyari yake kuhamia ccm kunakitu anakitaka

Ukiona mtu anafanya mambo hayo, huyo si mwanasiasa bali ni mfanya biashara ya siasa!.
 
Huyo mama wa NCCR alikuwa ccm tangu mwaka jana.......
Mkuu, mbona kuna wabunge kibao wa Upinzani ni wana CCM? Subiri Magu akikabidhiwa chama hakika kutakuwa na mafuriko ya makamanda kujiunga na CCM
 
Mbunge akihama chama na ubunge hana.......hiyo ndiyo katiba ya Tanzania. Strict party discipline.
Akihama na jimbo hana!
Hilo liko wazi na ndio maana anamalizana na CCM ili hata kama atapoteza Ubunge aendelee kukitumikia chama kwa namna nyingine
 
Mkuu, mbona kuna wabunge kibao wa Upinzani ni wana CCM? Subiri Magu akikabidhiwa chama hakika kutakuwa na mafuriko ya makamanda kujiunga na CCM
Leo yamekuwa siyo makapi tena.
 
Alitabiri komba na kombani ..lkn mwishowe wao ndo hatunao ..na ww jiandae kwa utabiri wako uchwara
Pole sana ndugu. Mbona Wasira aliyetabiri kuwa CHADEMA itakufa bado hajafa? Suala la kifo ni majaaliwa na mapenzi ya Allah
 
Sasa kama ni tetesi yanini unawashwa na kuja kutuletea hapa jamvini? Zina umuhimu gani kwa jamii zaidi ya itikadi tu?
 
Uwenyekiti hamtaki kumpa Magu.Atakaye jiunga na chama cha hovyo labda ni chizi.
 
Sasa kama ni tetesi yanini unawashwa na kuja kutuletea hapa jamvini? Zina umuhimu gani kwa jamii zaidi ya itikadi tu?
Pole sana ndugu. Neno tetesi limeandikwa na Mods. Hii ni taarifa sahihi kutoka kwa chanzo sahihi
 
Kumbe ccm pamoja na kashfa na vijembe vyoote kwa wapinzani lkn bado mnawatolea macho?
 
Mkuu, mbona kuna wabunge kibao wa Upinzani ni wana CCM? Subiri Magu akikabidhiwa chama hakika kutakuwa na mafuriko ya makamanda kujiunga na CCM
Kwamba Magu anaongoza vizuri mno? Duh!
 
Labda mm sijaelewa mtu anataka kuhamia kwenye chama mnongea naye nn maana kama mnafanya naye makubaliano maana yake nikama mnaingia naye mikataba na sio hiyari yake kuhamia ccm kunakitu anakitaka
Ukitaka biashara zako ziende sawa hamia ccm!
 
Wakati ccm wakitalajia kuwapokea hao 18 tarehe 23/7 ....tarehe 25 upinzani utapokea vigogo kutoka ccm 180 ...hii inaitwa kampa , kampa tena ...
Upinzani umeshapoteza mvuto. Hakuna tena atakayejiunga na vyama mfu
 
Kwa hiyo sio mkutano wa kumpata mwenyekiti wa Ccm Taifa sasa imekuwa ni mkutano wa kupokea wapinzani??
Ccm siwawezi kwa vituko
Hivi ni Wapi wameandika wanapokelewa kwenye mkutano hapo!?
Mungu baba tusaidie tuelewe hata Kiswahili [emoji22][emoji24][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…