Tetesi: Kuelekea Mkutano Mkuu wa CCM: Mbunge, Wajumbe na Katibu wa Mikoa wa Upinzani kujiunga CCM

Tetesi: Kuelekea Mkutano Mkuu wa CCM: Mbunge, Wajumbe na Katibu wa Mikoa wa Upinzani kujiunga CCM

Vuvuzela una vituko sana,

sasa huyo katibu wa CCM Monduli mnampokeaje ndani ya chama wakati tayari yupo huko ndani ya Chama na ni katibu wenu?
njia ya muongo ni fupi sana.
Alafu huyu huyu Vuvuzera alituaminisha kuwa sasa ameachana na propaganda za kwenye mitandao ya kijamii
 
Labda mm sijaelewa mtu anataka kuhamia kwenye chama mnongea naye nn maana kama mnafanya naye makubaliano maana yake nikama mnaingia naye mikataba na sio hiyari yake kuhamia ccm kunakitu anakitaka
Hapo ndio walipaswa kutuambia ni budget kiasi gani imetengwa. Isijekuwa zile bil 4 za gharama ya mkutano moja ni kwa ajili hiyo ili kunogesha mkutano kwa kuhadaa eti wapinzani wanamkubali mteule wao
 
Kwa kasi hii ya Magufuli hamna haja ya kukaa kwa vipinzani uchwara.



Upinzani Leo ndio watetezi wakubwa Wa majizi na Mafisadi ,sasa unabaki huko kutafuta nini??
nakuunga mkono kabisa ili tuweze kumarisha udikteta uchwara wetu
 
CCM kwenyewe mambo sio shwari,wako kimakundi wala si kiitikadi.Kuna wale wanaotaka kusafisha chama kwa kuwatema waliokisaliti chama.Lakini kundi jingine ni kuwaondoa "mafisadi "ndani ya chama linataka kujenga CCM mpya hawana haja kurubuni wateja toka Ukawa
 
La viongozi ama wanachama wa upinzani kujiunga na CCM halianzi leo, lipo tokea utawala wa Mkapa. Lakini si ajabu kuona kuwa, richa ya rushwa za CCM na wizi wa kura, bado upinzani umekua mpaka kuwa tishio la wazi wazi kuifuta CCM. Kumbuka wengine waliondoka wakati wa uchaguzi lakini moto ukaendelea. Kwa hiyo hao wanaoenda huko waende tu.
 
Nafikiri ichukueni CHADEMA yote na kuigeuza iwe CCM 2 labda mioyo yenu itatulia. Maana CHADEMA kuendelea kuwa chama cha upinzani inawanyima sana usingizi. Shame on you...
 
Hilo liko wazi na ndio maana anamalizana na CCM ili hata kama atapoteza Ubunge aendelee kukitumikia chama kwa namna nyingine
Aondoke tu who is he/she anyway? Jimbo lenyewe linampwaya whoever he/she is!
 
Pole sana ndugu. Mbona Wasira aliyetabiri kuwa CHADEMA itakufa bado hajafa? Suala la kifo ni majaaliwa na mapenzi ya Allah
Kwn wasira mzima ? ?? chadema itaendelea kuwepo mpka mungu akipenda isiwepo ...vile vile uwepo wako ww ni mapenzi ya mungu ..akikutaka tu ...jina linabadilika ...achana na chadema kwn ni mpango wa mungu
 
Kuna
Kwa kasi hii ya Magufuli hamna haja ya kukaa kwa vipinzani uchwara.



Upinzani Leo ndio watetezi wakubwa Wa majizi na Mafisadi ,sasa unabaki huko kutafuta nini??
Kuna majizi wapi upinzani maana sijasikia wanao timuliwa kwa mambo yenu?!
 
Karibu JOHN MNYIKA ndani ya Chama cha Watanzania na kinachopendwa na wananchi wastarabu sio walevi na vibaka
 
Hahaaa ndoto za alinacha. Kuhamia upinzani wafuate nini. Hakuna kitu kama hicho. Poleni VVU
Kifupi chichiem mmefuria na ndo maana kuna myukano wa kumpata mwenyekiti wenu...Elizabon haiishi kutaja taja wachawi ndani ya chichiem...na mjiandae kisaikolojia maana wengi watavuka mto kagera
 
CCM kama mzazi mwenye mapenzi kwa wanaye, katu hata wakataa hata wale waliokengeuka kwa ahadi zisizotekelezeka..
 
Back
Top Bottom