Kuelekea Mkutano wa Vyama vya Siasa Kitaeleweka tu

Kuelekea Mkutano wa Vyama vya Siasa Kitaeleweka tu

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Kuelekea ule mkutano wa vyama vya siasa:

1. Chadema hawa hapa:

IMG_20211213_183155_904.jpg

2. NCCR nao hawa hapa:

IMG_20211213_172852_309.jpg

Hadi siku ya siku mbona kitaeleweka tu?

ZZK na bwana Nondo namna gani pale?
 
Kwani kushiriki kula ubwabwa na kupata selfies ina umuhimu wowote mkuu?
Msajili wa vyama na waandaaji wa hii mkutano bora mkaangalia zaidi maslahi ya taifa kwa Demokrasia madhubuti hili mnalolitaka silo mnalipeleka taifa kusiko.
Na mpendwa Rais ukalione hili usije ukalikubali kwani halina manufaa shughulikia yale muhimu hawa walioko nyuma yako wanakutumia vibaya.
 
Wako kama wamerogwa:

IMG_20210829_163746_049.jpg

Kusikia ni hadi damu masikioni.

Hata kujiuliza tu wako kumwakilisha nani nako hamna.

Hiiiiii bagosha!
 
shida ni kutaka agenda zikubalike au shida ni majadiliano ambayo yanaweza kuleta au kutoleta matokeo chanya...?

Kukutana ni hatua ya kwanza, kukubaliana au kutokubaliana ni hatua ya pili...

ubishi ubishi usio na maana ulifanya hata katiba mpya ikakwama zama zile kwenye ubishi tu wa either serikali tatu au mbili....wakati kumbe ilikuwa haina ulazima wakumaliza yote na mengine siajabu leo hii yangekuwa implemented na hilo la idadi ya serikali tungeendelea kulipambania..
 
Back
Top Bottom