Kuelekea Mkutano wa Vyama vya Siasa Kitaeleweka tu

Kuelekea Mkutano wa Vyama vya Siasa Kitaeleweka tu

mkutano unahusu nini..?
Mkutani ni wa siku ngapi?
washiriki ni kina nani.
Rais na mwenyekiti wa CCM role yake ni nini?

Kwani wewe umekuwa uki comment bila kuwa na majibu ya maswali elementary hayo?

Kwenye mada kuna maelezo yote tokea vyama tofauti viwili yenye pia majibu ya maswali yako yote.

Kwa ufupi hawa wanakataa kwenda kwenye unaoitwa mkutano kuwa wasikilizaji tu.

Tukusaidie vipi mkuu kuyaona yote mle?
 
Hawana mazala yyte kwa Taifa washiriki wasishiliki

😁😁

IMG_20211214_091621_843.jpg
 
Nasikia Zitto ni siti ya mbele kabisa, tena watamkuta hapo wanapofungua ofisi kuonyesha msisitizo.
 
Chadema na NCCR vifutwe havifai kabisa kuwa vyama vya Siasa.
Haswa Chadema kimethibitisha kuwa ni chama cha kihalifu, chama kinacho shabikoa na kushangilia uhalifu, chama kinacho iombea nchi mambo mabaya hakifai kifutwe.
 
Kama wanataka PICHA basi wamfuate Mwenyekiti wa CDM Mh. Mbowe aje kuhudhuria afu wakimaliza wamrudishe rumande - ila CDM kupitia kwa Katibu Mkuu kasema hivi NO PICHA, NO SHOW... !!
 
Chadema na NCCR vifutwe havifai kabisa kuwa vyama vya Siasa.
Haswa Chadema kimethibitisha kuwa ni chama cha kihalifu, chama kinacho shabikoa na kushangilia uhalifu, chama kinacho iombea nchi mambo mabaya hakifai kifutwe.
wewe ndiyo wale Mzee Polepole anawatafuta, maana kasema awamu ya TANO iliacha wahuni wengi mno ndani ya chama na haya ndiyo madhara yake.
 
shida ni kutaka agenda zikubalike au shida ni majadiliano ambayo yanaweza kuleta au kutoleta matokeo chanya...?

Kukutana ni hatua ya kwanza, kukubaliana au kutokubaliana ni hatua ya pili...

ubishi ubishi usio na maana ulifanya hata katiba mpya ikakwama zama zile kwenye ubishi tu wa either serikali tatu au mbili....wakati kumbe ilikuwa haina ulazima wakumaliza yote na mengine siajabu leo hii yangekuwa implemented na hilo la idadi ya serikali tungeendelea kulipambania..
Hapa ndipo wanapofeli hawa watu.
 
Kuna vyama vya siasa zaidi ya 20 visiposhiriki 5 hakuna tatizo.

Ingekataa CCM hapo ingekuwa ni tatizo kubwa!
Itakataaje ili hali ndiyo inayoandaa mkutano.Ulishaona wapi Mkiti akiitisha mkutano halafu siku ikifika anakimbia.si lazima awepo?
 
Chadema na NCCR sio vyma vyama vya kisiasa bali ni SACOS za wenye viti.
nashangaa kwa nini Mhe. Msajili asivifutilie mbali hizi SACOS
afutilie mbali hizi takataka halafu tuone Mzee Mbatia na Swahiba wake watakula wapi.
Chuki upofusha, so wewe lengo ni wakose pa kula kama wew?
 
Back
Top Bottom