Kuelekea Mkutano wa Vyama vya Siasa Kitaeleweka tu

Kuna vyama vya siasa zaidi ya 20 visiposhiriki 5 hakuna tatizo.

Ingekataa CCM hapo ingekuwa ni tatizo kubwa!
Bwashee vp tena?? Una macho lkn huoni?? Hivyo vyama 5 vina wanachama nchi nzima, hivyo vingine wanachama wao wameishia kwenye ofisi za Makao makuu ya vyama vyao.
 
Hivi kwani kuwa sahihi ni kukubaliana kimawazo na CDM?....ZZK na ACT nao wana mtazamo wao sio lazima ufanane na CDM.... hii ni nchi huru na ya kidemokrasia ambayo kila mtu ana haki ya kuwaza anavyoona inafaa mradi asivunje sheria za nchi..
 
Chadema na NCCR sio vyma vyama vya kisiasa bali ni SACOS za wenye viti.
nashangaa kwa nini Mhe. Msajili asivifutilie mbali hizi SACOS
afutilie mbali hizi takataka halafu tuone Mzee Mbatia na Swahiba wake watakula wapi.
 
Mwanzo mlisema wanategemea ruzuku sasa hivi hawazitaki, na bado wako fresh tu.
 
Chadema na NCCR sio vyma vyama vya kisiasa bali ni SACOS za wenye viti.
nashangaa kwa nini Mhe. Msajili asivifutilie mbali hizi SACOS
afutilie mbali hizi takataka halafu tuone Mzee Mbatia na Swahiba wake watakula wapi.
Mafi ya bata ndiyo umeandika hapo aka uhalo
 
Hivi kwani kuwa sahihi ni kukubaliana kimawazo na CDM?....ZZK na ACT nao wana mtazamo wao sio lazima ufanane na CDM.... hii ni nchi huru na ya kidemokrasia ambayo kila mtu ana haki ya kuwaza anavyoona inafaa mradi asivunje sheria za nchi..

Mkuu kwanini unadhani yupo ambaye angependa awaye yote awe na misimamo kama ya CDM?

Kwani unadhani CDM haijui kuwa hata UP - Hapa Kazi Tu, TLP au hata kile cha ubwabwa ni vyama vingine?
 
baadhi ya comment hapo juu zinaonyesha kila atakayehudhuria basi ni msaliti, tafsiri ni kwamba wao walioamua kutohudhuria ndio wako sahihi...kumbe hata watakaohudhuria wanaweza kuwa sahihi kulingana na strategies zao za mapambano...
 
Chadema na NCCR sio vyma vyama vya kisiasa bali ni SACOS za wenye viti.
nashangaa kwa nini Mhe. Msajili asivifutilie mbali hizi SACOS
afutilie mbali hizi takataka halafu tuone Mzee Mbatia na Swahiba wake watakula wapi.
Maneno kama haya yalikua yanasemwa na polepole ila leo yeye ndiyo anafutwa kwa aibu bila huruma 😂

Ifike hatua praise team mjifunze kuwa na akiba ya maneno.
 
shida ni kutaka agenda zikubalike au shida ni majadiliano ambayo yanaweza kuleta au kutoleta matokeo chanya...?

Kukutana ni hatua ya kwanza, kukubaliana au kutokubaliana ni hatua ya pili...

ubishi ubishi usio na maana ulifanya hata katiba mpya ikakwama zama zile kwenye ubishi tu wa either serikali tatu au mbili....wakati kumbe ilikuwa haina ulazima wakumaliza yote na mengine siajabu leo hii yangekuwa implemented na hilo la idadi ya serikali tungeendelea kulipambania..

Shida mbona imeelezwa.

Kilichopelekea hadi kufikia hatua ya mkutano huu kinafahamika.

Umeona kitakachofanyika?
 
mkutano unahusu nini..?
Mkutani ni wa siku ngapi?
washiriki ni kina nani.
Rais na mwenyekiti wa CCM role yake ni nini?
 
baadhi ya comment hapo juu zinaonyesha kila atakayehudhuria basi ni msaliti, tafsiri ni kwamba wao walioamua kutohudhuria ndio wako sahihi...kumbe hata watakaohudhuria wanaweza kuwa sahihi kulingana na strategies zao za mapambano...

Kwa hiyo mkuu tunakubaliana kuwa yawezekana kuna aliye sahihi na asiye sahihi kwenye suala hili.

Hatuwezi basi japo kukubaliana kwenye vigezo?

Labda: Tija ya mkutano huu.
 
Nani anaepotez hapa, hii style ya kususa susa is never working sijui kwanini tunazidi kuitumia, ni style ya ovyo kabisa
 
shida ni kutaka agenda zikubalike au shida ni majadiliano ambayo yanaweza kuleta au kutoleta matokeo chanya...?

Kukutana ni hatua ya kwanza, kukubaliana au kutokubaliana ni hatua ya pili...

ubishi ubishi usio na maana ulifanya hata katiba mpya ikakwama zama zile kwenye ubishi tu wa either serikali tatu au mbili....wakati kumbe ilikuwa haina ulazima wakumaliza yote na mengine siajabu leo hii yangekuwa implemented na hilo la idadi ya serikali tungeendelea kulipambania..
Kwani Kuna Chama Cha Siasa kimegomea mkutano huo baai kitakuwa na shida
 
Nani anaepotez hapa, hii style ya kususa susa is never working sijui kwanini tunazidi kuitumia, ni style ya ovyo kabisa

😁😁

IMG_20211214_074204_930.jpg
 
Back
Top Bottom