Bwashee vp tena?? Una macho lkn huoni?? Hivyo vyama 5 vina wanachama nchi nzima, hivyo vingine wanachama wao wameishia kwenye ofisi za Makao makuu ya vyama vyao.Kuna vyama vya siasa zaidi ya 20 visiposhiriki 5 hakuna tatizo.
Ingekataa CCM hapo ingekuwa ni tatizo kubwa!
Una maana ya vyama vipi? vya shibuda, cheyo na mrema? Hivi kuna vyama hapo!? aibu ya kutoshaKuna vyama vya siasa zaidi ya 20 visiposhiriki 5 hakuna tatizo.
Ingekataa CCM hapo ingekuwa ni tatizo kubwa!
Kuna vyama vya siasa zaidi ya 20 visiposhiriki 5 hakuna tatizo.
Ingekataa CCM hapo ingekuwa ni tatizo kubwa!
Chadema na NCCR sio vyma vyama vya kisiasa bali ni SACOS za wenye viti.
nashangaa kwa nini Mhe. Msajili asivifutilie mbali hizi SACOS
afutilie mbali hizi takataka halafu tuone Mzee Mbatia na Swahiba wake watakula wapi.
Mwanzo mlisema wanategemea ruzuku sasa hivi hawazitaki, na bado wako fresh tu.Chadema na NCCR sio vyma vyama vya kisiasa bali ni SACOS za wenye viti.
nashangaa kwa nini Mhe. Msajili asivifutilie mbali hizi SACOS
afutilie mbali hizi takataka halafu tuone Mzee Mbatia na Swahiba wake watakula wapi.
Mafi ya bata ndiyo umeandika hapo aka uhaloChadema na NCCR sio vyma vyama vya kisiasa bali ni SACOS za wenye viti.
nashangaa kwa nini Mhe. Msajili asivifutilie mbali hizi SACOS
afutilie mbali hizi takataka halafu tuone Mzee Mbatia na Swahiba wake watakula wapi.
Hivi kwani kuwa sahihi ni kukubaliana kimawazo na CDM?....ZZK na ACT nao wana mtazamo wao sio lazima ufanane na CDM.... hii ni nchi huru na ya kidemokrasia ambayo kila mtu ana haki ya kuwaza anavyoona inafaa mradi asivunje sheria za nchi..
Mkuu kwanini unadhani yupo ambaye angependa awaye yote awe na misimamo kama ya CDM?
Kwani unadhani CDM haijui kuwa hata UP - Hapa Kazi Tu, TLP au hata kile cha ubwabwa ni vyama vingine?
Maneno kama haya yalikua yanasemwa na polepole ila leo yeye ndiyo anafutwa kwa aibu bila huruma πChadema na NCCR sio vyma vyama vya kisiasa bali ni SACOS za wenye viti.
nashangaa kwa nini Mhe. Msajili asivifutilie mbali hizi SACOS
afutilie mbali hizi takataka halafu tuone Mzee Mbatia na Swahiba wake watakula wapi.
shida ni kutaka agenda zikubalike au shida ni majadiliano ambayo yanaweza kuleta au kutoleta matokeo chanya...?
Kukutana ni hatua ya kwanza, kukubaliana au kutokubaliana ni hatua ya pili...
ubishi ubishi usio na maana ulifanya hata katiba mpya ikakwama zama zile kwenye ubishi tu wa either serikali tatu au mbili....wakati kumbe ilikuwa haina ulazima wakumaliza yote na mengine siajabu leo hii yangekuwa implemented na hilo la idadi ya serikali tungeendelea kulipambania..
Shida mbona imeelezwa.
Kilichopelekea hadi kufikia hatua ya mkutano huu kinafahamika.
Umeona kitakachofanyika?
baadhi ya comment hapo juu zinaonyesha kila atakayehudhuria basi ni msaliti, tafsiri ni kwamba wao walioamua kutohudhuria ndio wako sahihi...kumbe hata watakaohudhuria wanaweza kuwa sahihi kulingana na strategies zao za mapambano...
CCM itakataaje wakati ndio mwenyeji wa mkutano?Kuna vyama vya siasa zaidi ya 20 visiposhiriki 5 hakuna tatizo.
Ingekataa CCM hapo ingekuwa ni tatizo kubwa!
Kwani Kuna Chama Cha Siasa kimegomea mkutano huo baai kitakuwa na shidashida ni kutaka agenda zikubalike au shida ni majadiliano ambayo yanaweza kuleta au kutoleta matokeo chanya...?
Kukutana ni hatua ya kwanza, kukubaliana au kutokubaliana ni hatua ya pili...
ubishi ubishi usio na maana ulifanya hata katiba mpya ikakwama zama zile kwenye ubishi tu wa either serikali tatu au mbili....wakati kumbe ilikuwa haina ulazima wakumaliza yote na mengine siajabu leo hii yangekuwa implemented na hilo la idadi ya serikali tungeendelea kulipambania..
Nani anaepotez hapa, hii style ya kususa susa is never working sijui kwanini tunazidi kuitumia, ni style ya ovyo kabisa
Sehemu ya chama chake kipo serikalini, hivyo hana cha kufanya, ni maamuzi ya kikao chao lazima waende, pia anataka kuwaaminisha watz ni kati ya wapinzani dhabiti!Mdwazi Sana yule jamaa anajali Sana tumbo