Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli ameshiriki kuua reli ya kaskazini, ameharibu mpango wa barabara ya East Africa, amewatenga watu wa kaskazini, na asifike kabisa mikoa hii hafai.Kuelekea tarehe ya uchaguzi mkuu hapo October 28, ratiba ya Rais Magufuli inaonyesha atamalizia kampeni zake mikoa ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro na Tanga ambako taarifa hizi zimezua gumzo kubwa mtaani kila kijiwe wananchi wanajadili ujio wa Magufuli na jinsi watakavyompokea kwa kishindo...
Hapana. Tunampenda ila kauli zake na matendo ya wanaomzunguka ( haswa wakitufanyia jambo na asiwakemee) yanatusukuma kuona hatupendi.Magufuli ameshiriki kuua reli ya kaskazini, ameharibu mpango wa barabara ya East Africa, amewatenga watu wa kaskazini, na asifike kabisa mikoa hii hafai.
KWA kweli aende huko anakowapendeleaMagufuli ameshiriki kuua reli ya kaskazini, ameharibu mpango wa barabara ya East Africa, amewatenga watu wa kaskazini, na asifike kabisa mikoa hii hafai.
Akishapata kura anasahau huku daily kujinadi maendeleo hayana chamaAuziki kule ameitelekeza kaskazini eti ni kambi ya upinzani kaskazini ni muhimu tu wakati wa kuomba kura
Wewe etwege hujui unenaloKuelekea tarehe ya uchaguzi mkuu hapo October 28, ratiba ya Rais Magufuli inaonyesha atamalizia kampeni zake mikoa ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro na Tanga ambako taarifa hizi zimezua gumzo kubwa mtaani kila kijiwe wananchi wanajadili ujio wa Magufuli na jinsi watakavyompokea kwa kishindo...
Huku watu Hawa mind fiesta waende wakabebe Raia huko TangaKama amekataliwa Chato aliko wapelekea maendeleo. Atapokelewaje Kaskazini aliko waambia wasubiri kwanza ainue mikoa mingine?
Atapokelewaje na watu alio wabagua kwenye utawala wake?
Muulize tangu awe rais amekwenda mara ngapi Arusha na Kilimanjaro??
Halafu bahati mbaya aliyo nayo ni kwamba Wachagga hawa shobokei muziki..
Aje tu na wasanii wake wamburudishe sisi watu wa Kaskazini hatuna muda huo tuliachana na usanii miaka mingi tunachapa tu kazi ndo maana hata yeye alipoingia madarakani alikuta Mikoa hiyo inaongoza nchi nzima kwa maendeleo.Kama anajiamini aende Kaskazini bila wasanii ndio tuone kama watajitokeza watu zaidi ya 300
Kaskazini walikuwa vizuri mno ndio walifaidi nchi sana toka Tanzania ipate uhuruKaskazini safari hii watakaa, wasaka tonge watafute kazi nyingine
Moshi watu hawategemei hisani ya CCM ni kushapa tu kazi basiKaskazini walikuwa vizuri mno ndio walifaidi nchi sana toka Tanzania ipate uhuru
Ujio wa Chadema ndio uliotibua kila kitu.Niko Moshi watu hapa wanasema maisha yao wameharibiwa na shetani CHADEMA, kabla kuwepo walikuwa vizuri kila eneo iwe maofisini ,biashara nk
Wameapa hawataipa kura Chadema wataipa CCM
Nipo majengo moshi hapa, mbona hakuna mwenye shobo na huyo dikteta?Kuelekea tarehe ya uchaguzi mkuu hapo October 28, ratiba ya Rais Magufuli inaonyesha atamalizia kampeni zake mikoa ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro na Tanga ambako taarifa hizi zimezua gumzo kubwa mtaani kila kijiwe wananchi wanajadili ujio wa Magufuli na jinsi watakavyompokea kwa kishindo...
Kama amekataliwa Chato aliko wapelekea maendeleo. Atapokelewaje Kaskazini aliko waambia wasubiri kwanza ainue mikoa mingine?...
Waulize wenyewe watakujibu,Miaka kibao waliishi wengi na vyeti feki maofisini chini ya CCM hawakuguswa.Chadema ikaja ikasema serikalini wako watu hawana sifa za kuongoza. Serikali ikashtuka ikasema ngoja tuhakiki vyeti wakakuta zigo hili hapa wenye vyeti feki KIBAO wengi wa kaskazini!!!! Waliwekana ofisi nyingi kibao na hakuna aliyeswasumbua .Chadema kuja wakatibua kila kituMoshi watu hawategemei hisani ya ccm ni kuxhapa tu kazi basi
Maendeleo ya Watu au vitu?Pigeni chini Chadema, mtapata maendeleo
Watu 300??!! Duh...Kama anajiamini aende Kaskazini bila wasanii ndio tuone kama watajitokeza watu zaidi ya 300
Kwa kauli ya Aina hiyo ndiyo maana huwa mnanyimwa kura...Habari ya huku ni LISSU ..tulishajitambua longtime...Fiesta peleka dodoma
Watu wanamachungu sana na ugumu wa maisha...huku mnajisumbuwa