pechipechi
Senior Member
- Aug 27, 2017
- 157
- 308
Mkuu Arusha ipi iyo unaiongelea? kaskazn hakunaga upumbavu huo sehemu pekee ambayo CCM wanaweza pata kura ni mkoa wa manyara.labda natanga kidogo. Lakni iyo Arusha na Kilimanjaro, hawajawahi kujaliwa Neema yaujinga huo wakuwapa kura kilahc ivyo.Kuelekea tarehe ya uchaguzi mkuu hapo October 28, ratiba ya Rais Magufuli inaonyesha atamalizia kampeni zake mikoa ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro na Tanga ambako taarifa hizi zimezua gumzo kubwa mtaani kila kijiwe wananchi wanajadili ujio wa Magufuli na jinsi watakavyompokea kwa kishindo...
Tena usicho kijua uku watu wanalalamika Sana kuwa toka aingie madarakan amekuwa hawakumbuki kabsa wakasikazn.iyo manyara yenyewe wanalalamika kawasababshia hasara kubwa kwenye zao lao la mbazi.
Wakati jakaya anaondoka mbaazi kg1 ilkuwa2200,Leo magufuri kasababsha mbaazi kg1 Ni tshng150....kasababshia watu hasara kubwa Sana 28 Oct atanyooshwa