Uchaguzi 2020 Kuelekea Oktoba 28: Ujio wa Dkt. Magufuli mikoa ya Kaskazini wawa gumzo!

Kuelekea tarehe ya uchaguzi mkuu hapo October 28, ratiba ya Rais Magufuli inaonyesha atamalizia kampeni zake mikoa ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro na Tanga ambako taarifa hizi zimezua gumzo kubwa mtaani kila kijiwe wananchi wanajadili ujio wa Magufuli na jinsi watakavyompokea kwa kishindo.

Tangu mwaka 2015 Rais Magufuli amewafanyia makubwa watu wa Kaskazini ikiwemo kufufua reli yao, barabara za kimataifa pale Arusha pamoja na kumuibua billionea wa Tanzanite bwana Laizer.

Kwa jinsi gumzo la Magufuli lilivyo huku mtaani utafikiri Chadema haijawahi kuwepo kabisa kanda hii!!

Ama kweli kasi ya Magufuli itaenda na wengi, kwa heri Lema Arusha kwa heri Chadema kanda ya Kaskazini na karibu CCM mpya yenye kujali wanyonge.

Pole sana Mbowe baada ya kuangushwa na konyangi sasa chama chako kinaenda kuangushwa na kufutwa kabisa Kaskazini na mtumishi wa wanyonge Rais Magufuli.

USITUTISHE!!!
 
Mimi naishi Arusha nimepita mara nyingi sokoni Kilombero hakika kwa masikio yangu nimewasikia wafanya biashara pale sokoni hususani akina mama wauza mboga na matunda wameapa watalala uwanjani kuwahi nafasi na wanatamka kwamba hawatafanya kubahatisha nafasi ya Rais wamemuona Daktari ndiye pekee tena sio miaka mitano laa hasha wanasema miaka ishirini na tano.
 
Kaskazini ni washamba wa wasanii?
Juzi alifanya mkutano wa ulaghai pale kawe na Bunju cha kushangaza wananchi walisombwa toka Rufiji. Yani pamoja na kununua midubwasha sijui mindege bado anawategemea kina Zuchu Kujaza viwanja.
 
Aje tutampokea na hela zao tutakula ila kura tutampa Lissu just like 2015 alivyoambulia kura 0. Kaskazini sio wajinga wajinga

Kilimanjaro ndio mkoa pekee ambao CCM inapata kiwango cha wastani wa 42% angalia records zako vizuri, hata kaka Mbowe ushindi wake huwa na tofauti ya kura zisizozidi 10000.

CCM wanatakiwa nguvu kidogo sana Kilimanjaro kupindua bus. Jimbo la Vunjo Lowassa kura 63,750, Magufuli kura 57, 124. Angalia record zako uthibitishe. Na hii ndio patern ya majimbo karibu yote.

Wanaoipenda CCM Kilimanjaro siku zote hawajakata tamaa. Na ni wapiga kura wazuri sana. Labda idadi ya wapiga kura ni wachache.
 
Kuelekea tarehe ya uchaguzi mkuu hapo October 28, ratiba ya Rais Magufuli inaonyesha atamalizia kampeni zake mikoa ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro na Tanga ambako taarifa hizi zimezua gumzo kubwa mtaani kila kijiwe wananchi wanajadili ujio wa Magufuli na jinsi watakavyompokea kwa kishindo.

Tangu mwaka 2015 Rais Magufuli amewafanyia makubwa watu wa Kaskazini ikiwemo kufufua reli yao, barabara za kimataifa pale Arusha pamoja na kumuibua billionea wa Tanzanite bwana Laizer.

Kwa jinsi gumzo la Magufuli lilivyo huku mtaani utafikiri Chadema haijawahi kuwepo kabisa kanda hii!!

Ama kweli kasi ya Magufuli itaenda na wengi, kwa heri Lema Arusha kwa heri Chadema kanda ya Kaskazini na karibu CCM mpya yenye kujali wanyonge.

Pole sana Mbowe baada ya kuangushwa na konyangi sasa chama chako kinaenda kuangushwa na kufutwa kabisa Kaskazini na mtumishi wa wanyonge Rais Magufuli.

Huku tunajielewa. Hatujawahi kudanganyika. Mwambieni itakula kwake. Daadeki
 
Hahaha... your excellency I am purichingi but you are not reachable!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wiav tu fokas akoding to awa ouni pipo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Watu kweli mna utani...eti Magufuli anasubiriwa Kaskazini! Chato kwenyewe akitia mguu sasa hivi anaweza akapopolewa mawe ila bahati nzuri huko Kaskazini watu wameelimika na hawatampopoa ila watajiuliza maswali mengi tu. Watajiuliza kwa mfano hivi huyu akipewa miaka mingine mitano, wazazi wangapi watawalilia watoto wao watakaopotea kama alivyopotea Ben Saanane.
 
Chama gani kimefufua reli?
Kilichoiua hiyo reli, ili kije kiifufue kiseme kimetekeleza ilani.

Mnaenda hatua 3 mbele mnarudi hatua 300 nyuma halafu mnajisifu mnetekeleza🤣🤣🤣
 
Kuelekea tarehe ya uchaguzi mkuu hapo October 28, ratiba ya Rais Magufuli inaonyesha atamalizia kampeni zake mikoa ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro na Tanga ambako taarifa hizi zimezua gumzo kubwa mtaani kila kijiwe wananchi wanajadili ujio wa Magufuli na jinsi watakavyompokea kwa kishindo.

Tangu mwaka 2015 Rais Magufuli amewafanyia makubwa watu wa Kaskazini ikiwemo kufufua reli yao, barabara za kimataifa pale Arusha pamoja na kumuibua billionea wa Tanzanite bwana Laizer.

Kwa jinsi gumzo la Magufuli lilivyo huku mtaani utafikiri Chadema haijawahi kuwepo kabisa kanda hii!!

Ama kweli kasi ya Magufuli itaenda na wengi, kwa heri Lema Arusha kwa heri Chadema kanda ya Kaskazini na karibu CCM mpya yenye kujali wanyonge.

Pole sana Mbowe baada ya kuangushwa na konyangi sasa chama chako kinaenda kuangushwa na kufutwa kabisa Kaskazini na mtumishi wa wanyonge Rais Magufuli.

Tanga amesema hatakuja
 
Aende kusini akalipe deni la korosho
 
Huku Mtwara anaogopa maswali haya, mbona mwaka huu hujanunua korosho?
 
Back
Top Bottom