wakali ndondo
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 389
- 607
Ila kitengo cha propaganda cha Lumumba kimepwaya sanaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wa Kaskazini hawapangiwi ...wanajipangia na siku wakiamua kuipigia kura CCM wataipigia ....USIWALAZIMISHE ..huwa wanaamua wenyewe kwa namna yao wenyeweKaskazini na Kwingine chagueni wabunge wenye ushawishi serikalini. Msichague wabunge ambao Wana ushawishi tu wapiga kura lakini serikalini. Hawana
Mtu aweza laghai wapiga kura wakampa akaenda bungeni kumbe Hana ushawishi wowote kwa serikali akirudi anaweka tu clip za alichoongea bungeni utafikiri wapiga kura walimpeleka bungeni akajirekodi clip awaletee wapiga kura!!!!.Mnamtuma katuletee maendeleo anawaletea clip aliyojirekodi Tena zingine za uongo Wala sio za bungeni wanejirekodi studio uswahilini
Hawa wasio na ushawishi kwa serikali achaneni nao wanawacheleweshea maendeleo
Wapeni wenye ushawishi kwa wapiga kura na serikali
Hao wenye ushawishi wa wapiga kura pekee wanafuata posho tu bungeni matapeli hao . Kaskazini huo ushauri wa bure kwenu wapiga kura
Wapiga kura komesheni hup utapeli wa Clip hamtumi mbunge akawaletee single yake ya Clip.Mnahitaji maendeleo sio Clip !!!
Usipate shida hiyo nyomi ya vijana wadogo tuione siku ya kupiga kura tafadhali .Hao hawana tabia ya kupiga kura hata vitambulisho vya kura wengi hawana.Tukutane kituo Cha kupiga kura na hizo nyomi zako feki.za 2015 tafadhali narudia tuzione vituo vya kupiga kuraElitwege angalia live sasa hivi Tundu Lissu Urambo kuna Nyomi ya kutisha haijawahi kutokea kwenye Mji mdogo kama Urambo
Toroka uje Chadema
CCM ingejikita ugogoni huko dodoma. Ushauri wa bure kilimanjaro, manyara na arusha hakuna watakachopata.Mbona Chadema kama hamtaki kusikia kabisa hili Jambo katika hii kanda mnayoita ni Ngome ya CHADEMA.
Uchaguzi huu CHADEMA mtafail kwa kishindo.
Itakua ngumu kupiga chini. Nyumbani kwa mwenyekiti wenu chato chadema inachukua jimbo saa 4 asubuhi wewe unazungumzia arusha unaakili wewe?Pigeni chini Chadema, mtapata maendeleo
Naona unajitetea na maneno mengi we tulia subiri kichapo hii maneno mengi haisaidii mzee.Waulize wenyewe watakujibu,Miaka kibao waliishi wengi na vyeti feki maofisini chini ya CCM hawakuguswa.Chadema ikaja ikasema serikalini wako watu hawana sifa za kuongoza. Serikali ikashtuka ikasema ngoja tuhakiki vyeti wakakuta zigo hili hapa wenye vyeti feki KIBAO wengi wa kaskazini!!!! Waliwekana ofisi nyingi kibao na hakuna aliyeswasumbua .Chadema kuja wakatibua kila kitu
Nenda kwenye tenda huko usiseme.Walifaidi mitenda ya serikali sio utani.Chadema ndio waanzisha vita ya ufisadi.Serikali ya CCM ilikuwa imelala inakoroma wakaiamusha wakasema hawa CHADEMA tuwasikilize wana hoja si unaona wanavyoungwa mkono tuchukue hatua kilichogundulika ni CHA kUTISHA ufisadi ulijaa kibao kuanzia kwenye tenda za semina na mikutano kufanyika kwenye hoteli zao kifisadi,MATENDA mbalimbali ya kupiga pesa ikiwa na mitandao yao kuanzia maofisini kibao nk
Serikali ikachukua hatua kukomesha huo ufisadi kilio kikarudi kule kule kuliko Wana CHADEMA
Ukiwauliza wengi wanakwambia wazi CHADEMA imetufanyia kitu kibaya sana hawataki hata kuisikia ndio ilikuwa ikichongea michongo yao ya kifisadi ya kupiga pesa kuanzia bungeni nk
Hapa Moshi huwezi bandika tangazo la mgombea wa Chadema kwenye duka au ukuta wa nyumba ya mtu atakutokea na mapanga kukukimbiza hawataki.Lakini ukiwa na mabango ya CCM TENA wanakuomba wenyewe kuwa mbona unapita bandika au lete nitabandika mwenyewe.Kama unabisha nenda na kikaratasi chako cha mgombea kabandike ukuta wa duka la mtu au ukuta wa nyumba ya mtu uone muziki wake hawataki
Tarehe 28 October watu Wana hasira na Chadema watakachowafanyia hawataaminiNaona unajitetea na maneno mengi we tulia subiri kichapo hii maneno mengi haisaidii mzee.
Hakuna kitu Chadema mnaonyesha clip mlizoongea bungeni badala ya kuwaonyesha maendeleo mliyofanya Kilimanjaro .Mlitumwa na wapiga kura mkajirekodi selfie ya mliyoongea bungeni au muwaletee maendeleo?Alisikika mlevi mmoja kutoka ccm. Kipigo mtakachopokea mwaka huu mtajuta kuifahamu chadema.
Chadema tumebanwa sana mwaka huu.Hakuna kitu Chadema mnaonyesha clip mlizoongea bungeni badala ya kuwaonyesha maendeleo mliyofanya Kilimanjaro .Mlitumwa na wapiga kura mkajirekodi selfie ya mliyoongea bungeni au muwaletee maendeleo?
Waluqapigia kura kuwa katuleteeni CD? Au DVD ? Ndicho walichowatuma wapiga kura?
Afadhali wewe umeliona hili mapema kamanda.Chadema tumebanwa sana mwaka huu.
Mimi najitambua mkuu.Afadhali wewe umeliona hili mapema kamanda.
Chemical ali wa sadam HusseinKuelekea tarehe ya uchaguzi mkuu hapo October 28, ratiba ya Rais Magufuli inaonyesha atamalizia kampeni zake mikoa ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro na Tanga ambako taarifa hizi zimezua gumzo kubwa mtaani kila kijiwe wananchi wanajadili ujio wa Magufuli na jinsi watakavyompokea kwa kishindo.
Tangu mwaka 2015 Rais Magufuli amewafanyia makubwa watu wa Kaskazini ikiwemo kufufua reli yao, barabara za kimataifa pale Arusha pamoja na kumuibua billionea wa Tanzanite bwana Laizer.
Kwa jinsi gumzo la Magufuli lilivyo huku mtaani utafikiri Chadema haijawahi kuwepo kabisa kanda hii!!
Ama kweli kasi ya Magufuli itaenda na wengi, kwa heri Lema Arusha kwa heri Chadema kanda ya Kaskazini na karibu CCM mpya yenye kujali wanyonge.
Pole sana Mbowe baada ya kuangushwa na konyangi sasa chama chako kinaenda kuangushwa na kufutwa kabisa Kaskazini na mtumishi wa wanyonge Rais Magufuli.
Chadema tumebanwa sana mwaka huu.
Moshi ina wenyewe Acha porojoKuelekea tarehe ya uchaguzi mkuu hapo October 28, ratiba ya Rais Magufuli inaonyesha atamalizia kampeni zake mikoa ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro na Tanga ambako taarifa hizi zimezua gumzo kubwa mtaani kila kijiwe wananchi wanajadili ujio wa Magufuli na jinsi watakavyompokea kwa kishindo.
Tangu mwaka 2015 Rais Magufuli amewafanyia makubwa watu wa Kaskazini ikiwemo kufufua reli yao, barabara za kimataifa pale Arusha pamoja na kumuibua billionea wa Tanzanite bwana Laizer.
Kwa jinsi gumzo la Magufuli lilivyo huku mtaani utafikiri Chadema haijawahi kuwepo kabisa kanda hii!!
Ama kweli kasi ya Magufuli itaenda na wengi, kwa heri Lema Arusha kwa heri Chadema kanda ya Kaskazini na karibu CCM mpya yenye kujali wanyonge.
Pole sana Mbowe baada ya kuangushwa na konyangi sasa chama chako kinaenda kuangushwa na kufutwa kabisa Kaskazini na mtumishi wa wanyonge Rais Magufuli.
Huu upumbavu sijui mnautoa wapi?Kama anajiamini aende Kaskazini bila wasanii ndio tuone kama watajitokeza watu zaidi ya 300