Uchaguzi 2020 Kuelekea Oktoba 28: Ujio wa Dkt. Magufuli mikoa ya Kaskazini wawa gumzo!

Kuelekea tarehe ya uchaguzi mkuu hapo October 28, ratiba ya Rais Magufuli inaonyesha atamalizia kampeni zake mikoa ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro na Tanga ambako taarifa hizi zimezua gumzo kubwa mtaani kila kijiwe wananchi wanajadili ujio wa Magufuli na jinsi watakavyompokea kwa kishindo.

Tangu mwaka 2015 Rais Magufuli amewafanyia makubwa watu wa Kaskazini ikiwemo kufufua reli yao, barabara za kimataifa pale Arusha pamoja na kumuibua billionea wa Tanzanite bwana Laizer.

Kwa jinsi gumzo la Magufuli lilivyo huku mtaani utafikiri CHADEMA haijawahi kuwepo kabisa kanda hii!!

Ama kweli kasi ya Magufuli itaenda na wengi, kwa heri Lema Arusha kwaheri CHADEMA kanda ya Kaskazini na karibu CCM mpya yenye kujali wanyonge.

Pole sana Mbowe baada ya kuangushwa na konyangi sasa chama chako kinaenda kuangushwa na kufutwa kabisa Kaskazini na mtumishi wa wanyonge Rais Magufuli.

Lissu afungie kampeni zake kanda ya ziwa! Tukakomeshe ka Magufuli
 
Kama amekataliwa Chato aliko wapelekea maendeleo. Atapokelewaje Kaskazini aliko waambia wasubiri kwanza ainue mikoa mingine?
Atapokelewaje na watu alio wabagua kwenye utawala wake?
Muulize tangu awe rais amekwenda mara ngapi Arusha na Kilimanjaro??
Halafu bahati mbaya aliyo nayo ni kwamba Wachagga hawa shobokei muziki..

Ongea yote lakini safari hii Mbowe na Lema ni out.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wiav tu fokas akoding to awa ouni pipo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaha utadhani amewahi kusikiliza maoni ya hao pepo.
 
Kuelekea tarehe ya uchaguzi mkuu hapo October 28, ratiba ya Rais Magufuli inaonyesha atamalizia kampeni zake mikoa ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro na Tanga ambako taarifa hizi zimezua gumzo kubwa mtaani kila kijiwe wananchi wanajadili ujio wa Magufuli na jinsi watakavyompokea kwa kishindo.

Tangu mwaka 2015 Rais Magufuli amewafanyia makubwa watu wa Kaskazini ikiwemo kufufua reli yao, barabara za kimataifa pale Arusha pamoja na kumuibua billionea wa Tanzanite bwana Laizer.

Kwa jinsi gumzo la Magufuli lilivyo huku mtaani utafikiri CHADEMA haijawahi kuwepo kabisa kanda hii!!

Ama kweli kasi ya Magufuli itaenda na wengi, kwa heri Lema Arusha kwaheri CHADEMA kanda ya Kaskazini na karibu CCM mpya yenye kujali wanyonge.

Pole sana Mbowe baada ya kuangushwa na konyangi sasa chama chako kinaenda kuangushwa na kufutwa kabisa Kaskazini na mtumishi wa wanyonge Rais Magufuli.

Kijiwe kipi? Nani kaskazini anakaa kijiweni zaidi ya wachache wenye shughuli maeneo yao?
 
Mnaomchukia Magufulimnapatikana JF ila ukienda field hata asingefanya kampeni yeye angesimama tu redioni na kusema jamani nagombea tena basi ushindi kwake.

MAGUFULI4LIFE
 
Back
Top Bottom