Uchaguzi 2020 Kuelekea Oktoba 28: Ujio wa Dkt. Magufuli mikoa ya Kaskazini wawa gumzo!

Uchaguzi 2020 Kuelekea Oktoba 28: Ujio wa Dkt. Magufuli mikoa ya Kaskazini wawa gumzo!

Hahaha... your excellency I am purichingi but you are not reachable!
 
Kuelekea tarehe ya uchaguzi mkuu hapo October 28, ratiba ya Rais Magufuli inaonyesha atamalizia kampeni zake mikoa ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro na Tanga ambako taarifa hizi zimezua gumzo kubwa mtaani kila kijiwe wananchi wanajadili ujio wa Magufuli na jinsi watakavyompokea kwa kishindo...
Magufuli ameshiriki kuua reli ya kaskazini, ameharibu mpango wa barabara ya East Africa, amewatenga watu wa kaskazini, na asifike kabisa mikoa hii hafai.
 
Magufuli ameshiriki kuua reli ya kaskazini, ameharibu mpango wa barabara ya East Africa, amewatenga watu wa kaskazini, na asifike kabisa mikoa hii hafai.
Hapana. Tunampenda ila kauli zake na matendo ya wanaomzunguka ( haswa wakitufanyia jambo na asiwakemee) yanatusukuma kuona hatupendi.
 
Kuelekea tarehe ya uchaguzi mkuu hapo October 28, ratiba ya Rais Magufuli inaonyesha atamalizia kampeni zake mikoa ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro na Tanga ambako taarifa hizi zimezua gumzo kubwa mtaani kila kijiwe wananchi wanajadili ujio wa Magufuli na jinsi watakavyompokea kwa kishindo...
Wewe etwege hujui unenalo
 
Kama amekataliwa Chato aliko wapelekea maendeleo. Atapokelewaje Kaskazini aliko waambia wasubiri kwanza ainue mikoa mingine?
Atapokelewaje na watu alio wabagua kwenye utawala wake?
Muulize tangu awe rais amekwenda mara ngapi Arusha na Kilimanjaro??
Halafu bahati mbaya aliyo nayo ni kwamba Wachagga hawa shobokei muziki..
Huku watu Hawa mind fiesta waende wakabebe Raia huko Tanga
 
Kama anajiamini aende Kaskazini bila wasanii ndio tuone kama watajitokeza watu zaidi ya 300
Aje tu na wasanii wake wamburudishe sisi watu wa Kaskazini hatuna muda huo tuliachana na usanii miaka mingi tunachapa tu kazi ndo maana hata yeye alipoingia madarakani alikuta Mikoa hiyo inaongoza nchi nzima kwa maendeleo.

Hiyo reli ya Mjerumani aliyojenga aliiua yeye akiwa Waziri lakini wakati wote tukiwa hatuna usafiri huo hatukukosa kitu lakini sasa tunakosa vitu vingi pamoja na cement na bei imepanda ingawa kuna viwanda Tanga na Dar.

Hizo barabara za Arusha ni za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki kama SGR na ilikuwa ifike mpaka Voi, Kenya ili kuunganisha na ile ya Mombasa - Nairobi lakini sasa ni miaka toka aweke jiwe la msingi lakini barabara bado iko Arusha.

Huyo ni mtu wa maneno mengi bila vitendo kama ninyi, bakini nae hukohuko mpaka tarehe 28, Oktoba.
 
Kaskazini safari hii watakaa, wasaka tonge watafute kazi nyingine
Kaskazini walikuwa vizuri mno ndio walifaidi nchi sana toka Tanzania ipate uhuru

Ujio wa Chadema ndio uliotibua kila kitu.Niko Moshi watu hapa wanasema maisha yao wameharibiwa na shetani CHADEMA, kabla kuwepo walikuwa vizuri kila eneo iwe maofisini ,biashara nk

Wameapa hawataipa kura Chadema wataipa CCM
 
Moshi watu hawategemei hisani ya CCM ni kushapa tu kazi basi
 
Kuelekea tarehe ya uchaguzi mkuu hapo October 28, ratiba ya Rais Magufuli inaonyesha atamalizia kampeni zake mikoa ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro na Tanga ambako taarifa hizi zimezua gumzo kubwa mtaani kila kijiwe wananchi wanajadili ujio wa Magufuli na jinsi watakavyompokea kwa kishindo...
Nipo majengo moshi hapa, mbona hakuna mwenye shobo na huyo dikteta?

Maendeleo ya huku kaskazin yaneletwa na wana kaskazini wenyewe kwa kujituma na umoja wao! Tunajua huyo jitu jeusi(mpenda wanawake weupe) ana ukabila sana na anatubagua hatupendi wachaga, mwambie atembee mbele wachaga hatuna shobo na mbaguzi
 
Kama amekataliwa Chato aliko wapelekea maendeleo. Atapokelewaje Kaskazini aliko waambia wasubiri kwanza ainue mikoa mingine?...

Ukweli ambao mtu yeyote wa kaskazini atakubali, Magufuli ndio Rais ambae ameitikisa ngome ya upinzani sawa sawa. Anapendwa na kuogopwa.

Kwa asili Mchaga anampenda mtuu jasiri kwa vile atakavyo fanya mambo yake. Karibu tunakusubiri sana Mwanga tupo pamoja na Mzee C D Msuya. KARIBU SANA.
 
Moshi watu hawategemei hisani ya ccm ni kuxhapa tu kazi basi
Waulize wenyewe watakujibu,Miaka kibao waliishi wengi na vyeti feki maofisini chini ya CCM hawakuguswa.Chadema ikaja ikasema serikalini wako watu hawana sifa za kuongoza. Serikali ikashtuka ikasema ngoja tuhakiki vyeti wakakuta zigo hili hapa wenye vyeti feki KIBAO wengi wa kaskazini!!!! Waliwekana ofisi nyingi kibao na hakuna aliyeswasumbua .Chadema kuja wakatibua kila kitu

Nenda kwenye tenda huko usiseme.Walifaidi mitenda ya serikali sio utani.Chadema ndio waanzisha vita ya ufisadi.Serikali ya CCM ilikuwa imelala inakoroma wakaiamusha wakasema hawa CHADEMA tuwasikilize wana hoja si unaona wanavyoungwa mkono tuchukue hatua kilichogundulika ni CHA kUTISHA ufisadi ulijaa kibao kuanzia kwenye tenda za semina na mikutano kufanyika kwenye hoteli zao kifisadi,MATENDA mbalimbali ya kupiga pesa ikiwa na mitandao yao kuanzia maofisini kibao nk
Serikali ikachukua hatua kukomesha huo ufisadi kilio kikarudi kule kule kuliko Wana CHADEMA

Ukiwauliza wengi wanakwambia wazi CHADEMA imetufanyia kitu kibaya sana hawataki hata kuisikia ndio ilikuwa ikichongea michongo yao ya kifisadi ya kupiga pesa kuanzia bungeni nk

Hapa Moshi huwezi bandika tangazo la mgombea wa Chadema kwenye duka au ukuta wa nyumba ya mtu atakutokea na mapanga kukukimbiza hawataki.Lakini ukiwa na mabango ya CCM TENA wanakuomba wenyewe kuwa mbona unapita bandika au lete nitabandika mwenyewe.Kama unabisha nenda na kikaratasi chako cha mgombea kabandike ukuta wa duka la mtu au ukuta wa nyumba ya mtu uone muziki wake hawataki
 
Elitwege angalia live sasa hivi Tundu Lissu Urambo kuna Nyomi ya kutisha haijawahi kutokea kwenye Mji mdogo kama Urambo

Toroka uje Chadema
 
Mtoa mada kunakitu hakijui kuhusu mikoa ya Arusha na Kilimanjaro soma historia za watu wake tangu enzi za ukoloni. Au waulize Nyerere aliwafanyia mini watu wa Kilimanjaro na hadi leo kinafanyika. Kuna shida kidogo.
 
Habari ya huku ni LISSU ..tulishajitambua longtime...Fiesta peleka dodoma

Watu wanamachungu sana na ugumu wa maisha...huku mnajisumbuwa
Kwa kauli ya Aina hiyo ndiyo maana huwa mnanyimwa kura...
 
Back
Top Bottom