Uchaguzi 2020 Kuelekea Oktoba 28: Ujio wa Dkt. Magufuli mikoa ya Kaskazini wawa gumzo!

Mkuu Arusha ipi iyo unaiongelea? kaskazn hakunaga upumbavu huo sehemu pekee ambayo CCM wanaweza pata kura ni mkoa wa manyara.labda natanga kidogo. Lakni iyo Arusha na Kilimanjaro, hawajawahi kujaliwa Neema yaujinga huo wakuwapa kura kilahc ivyo.

Tena usicho kijua uku watu wanalalamika Sana kuwa toka aingie madarakan amekuwa hawakumbuki kabsa wakasikazn.iyo manyara yenyewe wanalalamika kawasababshia hasara kubwa kwenye zao lao la mbazi.

Wakati jakaya anaondoka mbaazi kg1 ilkuwa2200,Leo magufuri kasababsha mbaazi kg1 Ni tshng150....kasababshia watu hasara kubwa Sana 28 Oct atanyooshwa
 
KWA kweli aende huko anakowapendelea
Hata huko anapeleka vitu hadi anawakwaza kwamfano Chato watu wamenyang'anywa mashamba yao bila fidia iletwe airport ambayo miaka mitatu zimetua ndege 3 tuu (M7,kenyata na odinga).

Wengne wamenyang'anywa mapori yao ya kuchungia ili afanye hifadhi.

Ndio maana Tundu Lissu alipata mapokezi makubwa Chato.
 
Arusha wameandaa na ng'ombe ya magufuti wewe unasema atazomewa na nani?
Labda lema ndo afanye hayo.
Hao ni wahuni wa Gambo ambao baada ya Uchaguzi watatueleza kwanini walilichoma soko la Samunge
 
Mbona sizioni hizo shamrashara?Niko Moshi hapa,sioni hata dalili kuwa anakuja....hahahaha eti amemuibua laizer....hahaha

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Ahahahaha ndio mna jidanganya tuulizeni sisi tunaoishi huku msiwalishe watu maneno hali ilivohuku na unachokiongea tofauti mungu anakuona mtoa mada. Kikawaida watu hawa angalii walipo jikwa wanainuka nakusonga mbele.
 
Hata huko anapeleka vitu hadi anawakwaza kwamfano Chato watu wamenyang'anywa mashamba yao bila fidia iletwe airport ambayo miaka mitatu zimetua ndege 3 tuu (M7,kenyata na odinga).
Ajifunze sasa ku deal na Mambo yanayoweza kuwapa wananchi matokeo mazuri direct kwao Kama swala la uchumi,. Maana ndege bado hazigusi Raia wengi inderect, pia hifadhi za taifa zimewatenga Raia na kuwa affect maana walizoea kufanya shughuli zao kwa uhuru
 

Tunamsubiri kwa hamu. Tumbebee mabango kama hayo.

Hatujamsahau visa vyake dhidi yetu
 
Umeandika kishabiki Sana kuliko uhalisia zamani watu kutumia vyeti fake ilikuwa kawaida so kusema kaskazini walikuwa na vyeti fake si kweli maana tangia Uhuru walienda shule Hadi Nyerere kupandisha passmark za mkoa wa Kilimanjaro na wengi kuhamia mikoa mingine ili kuendelea na shule. So kusingizia eti kupendelewa I totally dis agree with you.

Pia hayo ya matangazo mbona sioni, na Niko around haya maeneo kitu ni virse versa kabisa.
 
Kaskazini na Kwingine chagueni wabunge wenye ushawishi serikalini. Msichague wabunge ambao Wana ushawishi tu wapiga kura lakini serikalini. Hawana

Mtu aweza laghai wapiga kura wakampa akaenda bungeni kumbe Hana ushawishi wowote kwa serikali akirudi anaweka tu clip za alichoongea bungeni utafikiri wapiga kura walimpeleka bungeni akajirekodi clip awaletee wapiga kura!!!!.Mnamtuma katuletee maendeleo anawaletea clip aliyojirekodi Tena zingine za uongo Wala sio za bungeni wanejirekodi studio uswahilini

Hawa wasio na ushawishi kwa serikali achaneni nao wanawacheleweshea maendeleo

Wapeni wenye ushawishi kwa wapiga kura na serikali

Hao wenye ushawishi wa wapiga kura pekee wanafuata posho tu bungeni matapeli hao . Kaskazini huo ushauri wa bure kwenu wapiga kura

Wapiga kura komesheni hup utapeli wa Clip hamtumi mbunge akawaletee single yake ya Clip.Mnahitaji maendeleo sio Clip !!!
 
Nileteeni Gwajima

Nileteeeeeeewwweni Gwajima

Nileteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeni Gwajima.

Nileteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeni Gwajima.
 
tutampokea na kuvaa kijani tupu ila asisahau kwamba safari hii watanzania tuna jambo letu oct28 niyeye Lisu
 
Mimi kamanda ninaejitambua namkubali JPM
 
Watajaa wengi tu..
Hilo halina shaka
Ila kwa matokeo ya ubunge bas baada ya 28 Sanduku msemakweli..
Watajaa tu kama 2015
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…