Uchaguzi 2020 Kuelekea Oktoba 28: Ujio wa Dkt. Magufuli mikoa ya Kaskazini wawa gumzo!

Watanzania tujitambue
 
Siuoni uwezekano huo
 
CHADEMA tutaifuta hapa Arusha...imesababisha mkoa wa Arusha...umeanza kudumaa kimaendeleo kama Kilimanjaro
wewe jamaa ni mku......du kabisa, yaani hapo ulipo hujui kuwa adui namba 01 wa hii kanda ni Maufuri? .
Alidhamiria kutoleta maendeleo kutoka sirikalini,bali yaliyofanyika ni kwa ufadhili toka nje au ndani au misaada ambayo inatoka ikiwa imetaja eneo husika.
Alidhamiria utalii unakufa katika kanda hii,ila hapa alisindwa pakubwa maana eneo lenyewe kila kona ni vivutio vya utalii, na haya yote watu wote wanayajua kuwa yye ndo ilikuwa sababu.
Amekuwa na chuki kali sana hasa na sisi watu wa huku,hasa wachaga na wao wanalijua hilo.
Wengi aliwaondoa katika nyadhifa nyeti kwa tuhuma upigaji bila vidhibiti na kuweka watu kutoka kanda yake.
BINAFSI SIJAWAI KUPATA RAHISI MBINAFSI KAMA HUYU
 
Asante kaka kuuweka ubaya wa huyu mkuru
 
Jpm anashinda kwa zaid ya 90%, haijawahi kutokea
 
WAPIGA KURA WENGI WAPO VIJIJINI.
 
Mkuu naona umetaja wachaga huko kaskazini kuna kabila moja tu la wachaga?!!
 
Uko Moshi ya nyingine, JPM hana lolote alilolifanya huko, watu watakuja kumshangaa ni jinsi gani alivyo na roho mbaya.
 
Tukiwa tunapiga story za Kaskazini huwa hatumuishi eneo la Mwanga, huko pambaneni mpate chakula, kila mwaka huwa mnasumbua na mahindi ya msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…