Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,800
Tukiwa tunapiga story za Kaskazini huwa hatumuishi eneo la Mwanga, huko pambaneni mpate chakula, kila mwaka huwa mnasumbua na mahindi ya msaada
Hiyo ya tambarare si Mwanga bado au ni wapi?Mwanga unaiyo ifahamu ni Mwanga ya tambarale kwa Wanyika-- wa kuja. Huko milimani kwetu hali ni nzuri sana, maji tele ardhi rutuba ya kutosha kwa hiyo na chakula pia. Mambo mukidee.
Hujui kitu!Moshi watu hawategemei hisani ya CCM ni kushapa tu kazi basi
Nilibahatika kusoma Lomwe, Usangi kwakweli ni sehemu nzuri sana.Mwanga unaiyo ifahamu ni Mwanga ya tambarale kwa Wanyika-- wa kuja. Huko milimani kwetu hali ni nzuri sana, maji tele ardhi rutuba ya kutosha kwa hiyo na chakula pia. Mambo mukidee.
Mwanga hata ya huko unakoita mlimani ni shida tupu. Mwanga ya mlimani ipi? Usangi? Ugweno? Kote kukame tu. Hivi utalinganisha na mlimani za Marangu, Mwika, Kibosho, Machame? Kiujumla kipande chote cha Wapare, kuanzia tu Njiapanda, Kahe, Kifaru, Mwanga, Same, Hedaru, Makanya hadi unakaribia Mombo, ni kukame tu. Wachagga wajanja waliwazidi akili wakaishi maeneo yenye chakula.Mwanga unaiyo ifahamu ni Mwanga ya tambarale kwa Wanyika-- wa kuja. Huko milimani kwetu hali ni nzuri sana, maji tele ardhi rutuba ya kutosha kwa hiyo na chakula pia. Mambo mukidee.
Ccm imetawala nchi mda mrefu na maeneo mengi tu huchagua hicho chama miaka 60 je Wana maendeleo gani?Hujui kitu!
Huyaoni hayo maendeleo? May be umezaliwa karibuni ndiyo maana huwezi ona maendeleo lakini jaribu basi hata kusoma historia ya Tanzania ilivyokuwa kabla na baada ya uhuru utaona tofauti iliyopo sasa!Ccm imetawala nchi mda mrefu na maeneo mengi tu huchagua hicho chama miaka 60 je Wana maendeleo gani?
Maendeleo gani maana huko dodoma watu wanaishi kwenye nyumba za matope maji hamna na kipindi Cha ukame wanakula viwavi, au wewe definition ya maendeleo ni ipi mwenzanguHuyaoni hayo maendeleo? May be umezaliwa karibuni ndiyo maana huwezi ona maendeleo lakini jaribu basi hata kusoma historia ya Tanzania ilivyokuwa kabla na baada ya uhuru utaona tofauti iliyopo sasa!
Kwanini usitoe mfano wa nyumbani kwenu? Ya Dodoma waachie watu wa Dodoma wanajua maendeleo waliyopata!Maendeleo gani maana huko dodoma watu wanaishi kwenye nyumba za matope maji hamna na kipindi Cha ukame wanakula viwavi, au wewe definition ya maendeleo ni ipi mwenzangu
Natolea huko maana Wana shida kubwa Sana wanahitaji msaada wakuanzia kifikira na waache kutumiwa na wanasiasa kupata kura then hawaboreshewi maisha yao magumu, plus ule ukame wa Dodoma Ni shida tupuKwanini usitoe mfano wa nyumbani kwenu? Ya Dodoma waachie watu wa Dodoma wanajua maendeleo waliyopata!
Wewe unatoka mkoa gani?Natolea huko maana Wana shida kubwa Sana wanahitaji msaada wakuanzia kifikira na waache kutumiwa na wanasiasa kupata kura then hawaboreshewi maisha yao magumu, plus ule ukame wa Dodoma Ni shida tupu
Siri yanguWewe unatoka mkoa gani?
Sasa mbona unaongelea mikoa ya wenzako wakati mkoa wako ni siri?Siri yangu
Lazima niongelee huo mkoa maana ni case study yangu kuonyesha poverty ilivoSasa mbona unaongelea mikoa ya wenzako wakati mkoa wako ni siri?
Kumbe na chat na mwanachuo! Soma kijana ili baadae uje upambane na maisha achana na utopolo wa siasa.Lazima niongelee huo mkoa maana ni case study yangu kuonyesha poverty ilivo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siasa ndio maisha yetu siwezi kuacha ku discuss kamweKumbe na chat na mwanachuo! Soma kijana ili baadae uje upambane na maisha achana na utopolo wa siasa.
Fanya utafit kiongoz utandua mikoa yote mikubwa Magufuli anakubalika MF. Mwanza ujenzi wa meli za kisasa kivuko Busisi na vingine vingi, Dar flyover nk, Dodoma kuhamishia lkulu kwa vitendo,kuboresha miundo mbinu nk,Arusha trani na vitu vinne ving, kiujumla jpm anapendwa sana nakund ya kila namna na atpitata kwa 90% utanimbia baada ya tar: 28Haiwezi kufika huko,tuzungumzie 70 au 60. Akif8kisha zaidi ya 90 basi dunia itaamini kua kuna wizi ndani yake.