Uchaguzi 2020 Kuelekea Oktoba 28: Ujio wa Dkt. Magufuli mikoa ya Kaskazini wawa gumzo!

Uchaguzi 2020 Kuelekea Oktoba 28: Ujio wa Dkt. Magufuli mikoa ya Kaskazini wawa gumzo!

Tukiwa tunapiga story za Kaskazini huwa hatumuishi eneo la Mwanga, huko pambaneni mpate chakula, kila mwaka huwa mnasumbua na mahindi ya msaada

Mwanga unaiyo ifahamu ni Mwanga ya tambarale kwa Wanyika-- wa kuja. Huko milimani kwetu hali ni nzuri sana, maji tele ardhi rutuba ya kutosha kwa hiyo na chakula pia. Mambo mukidee.
 
Mwanga unaiyo ifahamu ni Mwanga ya tambarale kwa Wanyika-- wa kuja. Huko milimani kwetu hali ni nzuri sana, maji tele ardhi rutuba ya kutosha kwa hiyo na chakula pia. Mambo mukidee.
Nilibahatika kusoma Lomwe, Usangi kwakweli ni sehemu nzuri sana.

Nitakwenda kupatembelea.

October 28th kura zote ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Mwanga unaiyo ifahamu ni Mwanga ya tambarale kwa Wanyika-- wa kuja. Huko milimani kwetu hali ni nzuri sana, maji tele ardhi rutuba ya kutosha kwa hiyo na chakula pia. Mambo mukidee.
Mwanga hata ya huko unakoita mlimani ni shida tupu. Mwanga ya mlimani ipi? Usangi? Ugweno? Kote kukame tu. Hivi utalinganisha na mlimani za Marangu, Mwika, Kibosho, Machame? Kiujumla kipande chote cha Wapare, kuanzia tu Njiapanda, Kahe, Kifaru, Mwanga, Same, Hedaru, Makanya hadi unakaribia Mombo, ni kukame tu. Wachagga wajanja waliwazidi akili wakaishi maeneo yenye chakula.
 
Ccm imetawala nchi mda mrefu na maeneo mengi tu huchagua hicho chama miaka 60 je Wana maendeleo gani?
Huyaoni hayo maendeleo? May be umezaliwa karibuni ndiyo maana huwezi ona maendeleo lakini jaribu basi hata kusoma historia ya Tanzania ilivyokuwa kabla na baada ya uhuru utaona tofauti iliyopo sasa!
 
Huyaoni hayo maendeleo? May be umezaliwa karibuni ndiyo maana huwezi ona maendeleo lakini jaribu basi hata kusoma historia ya Tanzania ilivyokuwa kabla na baada ya uhuru utaona tofauti iliyopo sasa!
Maendeleo gani maana huko dodoma watu wanaishi kwenye nyumba za matope maji hamna na kipindi Cha ukame wanakula viwavi, au wewe definition ya maendeleo ni ipi mwenzangu
 
Maendeleo gani maana huko dodoma watu wanaishi kwenye nyumba za matope maji hamna na kipindi Cha ukame wanakula viwavi, au wewe definition ya maendeleo ni ipi mwenzangu
Kwanini usitoe mfano wa nyumbani kwenu? Ya Dodoma waachie watu wa Dodoma wanajua maendeleo waliyopata!
 
Kwanini usitoe mfano wa nyumbani kwenu? Ya Dodoma waachie watu wa Dodoma wanajua maendeleo waliyopata!
Natolea huko maana Wana shida kubwa Sana wanahitaji msaada wakuanzia kifikira na waache kutumiwa na wanasiasa kupata kura then hawaboreshewi maisha yao magumu, plus ule ukame wa Dodoma Ni shida tupu
 
Natolea huko maana Wana shida kubwa Sana wanahitaji msaada wakuanzia kifikira na waache kutumiwa na wanasiasa kupata kura then hawaboreshewi maisha yao magumu, plus ule ukame wa Dodoma Ni shida tupu
Wewe unatoka mkoa gani?
 
Kumbe na chat na mwanachuo! Soma kijana ili baadae uje upambane na maisha achana na utopolo wa siasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siasa ndio maisha yetu siwezi kuacha ku discuss kamwe
 
Haiwezi kufika huko,tuzungumzie 70 au 60. Akif8kisha zaidi ya 90 basi dunia itaamini kua kuna wizi ndani yake.
Fanya utafit kiongoz utandua mikoa yote mikubwa Magufuli anakubalika MF. Mwanza ujenzi wa meli za kisasa kivuko Busisi na vingine vingi, Dar flyover nk, Dodoma kuhamishia lkulu kwa vitendo,kuboresha miundo mbinu nk,Arusha trani na vitu vinne ving, kiujumla jpm anapendwa sana nakund ya kila namna na atpitata kwa 90% utanimbia baada ya tar: 28
 
Wasukuma hawamtaki muhamiaji haramu ndio itakuwa kaskazini
 
Nileteeni Gambo
Nileteeeeeeni Gambo
Nileteeeeeeeeeeeni Gambo
Nileeeteeeeeeeeeeeeeeeeeeeni Gambo

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Back
Top Bottom