Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Mimi sina VPN na nimo JF. Tatizo lenu mnahisi mnajua kila kitu kisa mpo JF.Nimehangaika Sana kuingia JF usiku huu, lakini baada ya ku connect li VPN la Kimakonde, wazungu hawa....
Usifute VPN kibindoni mwako
Tufanye propaganda ili tupate nini?Acheni propaganda
Ndio nawashangaaTufanye propaganda ili tupate nini?
Hayo ni mawazo yako, Nani kakwambia ukiwa JF unakuwa unajua kila kitu?Mimi sina VPN na nimo JF. Tatizo lenu mnahisi mnajua kila kitu kisa mpo JF.
Unanishangaa mimi na Nani?Ndio nawashangaa
Na wenzio kama wanne hivi nimeona mnafanya propaganda inayofanana kwa wakati tofautiUnanishangaa mimi na Nani?
Sasa kwanini mnaleta hoja zikiwa bado hazijawa verified?Hayo ni mawazo yako, Nani kakwambia ukiwa JF unakuwa unajua kila kitu?
Ni lini JF ilitangaza rasmi matumizi ya VPN hapa jukwaani?Sasa kwanini mnaleta hoja zikiwa bado hazijawa verified?
Unaniulizia swali la kijinga na la kipumbavu.Ni lini JF ilitangaza rasmi matumizi ya VPN hapa jukwaani?
Wee katoto kuwa na adabu japo kidogo. Nimekuwepo JF tangu mwaka 2006 ikiitwa JamboForums, basi jipe nafasi kidogo tu ya kujitafakari na kuona kama Kuna ulazima wa kumtukana mtu ambaye hajakujosea lolote.Unaniulizia swali la kijinga na la kipumbavu.
Babuuuu UlimholaWee katoto kuwa na adabu japo kidogo. Nimekuwepo JF tangu mwaka 2006 ikiitwa JamboForums, basi jipe nafasi kidogo tu ya kujitafakari na kuona kama Kuna ulazima wa kumtukana mtu ambaye hajakujosea lolote.
Kwenye mikikimikiki yote ya JF nimekuwepo hapa, hadi tukabadilisha baadhi ya ID, mpaka tukahamia Kenyanforums, tulikuwa tunapashana taarifa kichinichini.
Je nimefanya ubaya kukuuliza ni lini JF ilipotoa tangazo rasmi kwamba Tuanze kutumia VPN?
Dogo Mtoto wa Shule usidhani mimi matusi siyajui, nikifungulia hapa mtambo utamsikitikia mama yako kwanini alikuzaa.
Sitaki tufike mbali ila jihadhari na Bujibuji Simba Nyamaume zee la hovyo
Mhola Sana, jha kwenhe huko.Babuuuu Ulimhola
Nimeisoma post yako kwa mara ya pili..... ninakuruhusu urushe tusi lingine nikufurahisheUnaniulizia swali la kijinga na la kipumbavu.
Mtu upo ndani ndani uko network inasumbuaa unaanza kuja na vihoja vya ajabuNimehangaika Sana kuingia JF usiku huu, lakini baada ya ku connect li VPN la Kimakonde, wazungu hawa....
Usifute VPN kibindoni mwako
Ukiweka hoja ya kijinga na kipumbavu itakuwa hivyo bila kujali upo tangu 2006 au wewe ni Mexcence Melo mwenyewe.Wee katoto kuwa na adabu japo kidogo. Nimekuwepo JF tangu mwaka 2006 ikiitwa JamboForums, basi jipe nafasi kidogo tu ya kujitafakari na kuona kama Kuna ulazima wa kumtukana mtu ambaye hajakujosea lolote.
Kwenye mikikimikiki yote ya JF nimekuwepo hapa, hadi tukabadilisha baadhi ya ID, mpaka tukahamia Kenyanforums, tulikuwa tunapashana taarifa kichinichini.
Je nimefanya ubaya kukuuliza ni lini JF ilipotoa tangazo rasmi kwamba Tuanze kutumia VPN?
Dogo Mtoto wa Shule usidhani mimi matusi siyajui, nikifungulia hapa mtambo utamsikitikia mama yako kwanini alikuzaa.
Sitaki tufike mbali ila jihadhari na Bujibuji Simba Nyamaume zee la hovyo