PostGE2025 Kuelekea Oktoba 29, 2026: Bila VPN JamiiForums.com haifunguki!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hakuna kunguni yeyote atakaye chekewa safari hii.
Safari hii mtafuatiliwq hadi chooni.
wachochezi na waratibu wote wa mipango ya vurugu wanajulikana
 
Kamuulize mama yako Mzee Simba Nyamaume ni Nani yako?

Hebu tufanye kidogo analysis ya majina.
Mtoto= sweet baby
Simba Nyamaume= jina la kiumeni
Mara nyingi mnaojinasibu "wanaume" mtaani, usiku wanaume wenzenu wanawapumulia mgongoni na baada ya hapo na "posho" mnawapa. Wewe ni miongoni mwao! Ahahahahaha!
 
Haya maneno ya born hia hia bado yanatumikašŸ˜„

Pole sana mkuu Bujibuji binafsi situmii Vpn ila nipo JF
 
Mtu upo ndani ndani uko network inasumbuaa unaanza kuja na vihoja vya ajabu
Ndio usenge wa JF ya sasa mmejaa wajinga wajinga wengi ujuwaji mwingi wakati hamjui lolote pumbavu kabisa.

Mnajuwa mashambulio yanayoipata JF? Issue siyo network mitego iko kwenye model za simu, apps na aina ya browser.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…