Mkuu Kila kitu kifanyike kwa utaratibu,pasipo janjajanja ya kuchezea karamuHao wako busy na miradi chungu mzima. Kule hakuna mijadala mirefu ya kifala ni action tu kwao. Kama bandari ya dar haiko tayari kuna fursa mahali pengi. Kalieni tu uchumi mpaka akili itakapo kaa sawa
Mtani mbona kama mmekumbuka shuka kukiwa tayari kumepambazuka! Miaka yote 60 mlikuwa wapi tangu Uhuru hadi Leo?MmeChelewa jamvini karamu imeshaliwa.
sasa hivi tunaongelea bandari iliyosahauliwa ya Mtwara na bandari ya zamani zaidi Kihistoria ya Kilwa.
kazi moto moto zinaendelea huko.
Bagamoyo inaanza ujenzi kabla ya mwaka huu wa fedha kwisha.
miji yote iliyosahauliwa kwa miaka zaidi ya 60 lazima inyanyuke kiuchumi.
Maendeleo hayazuwiliki tena.
Askari waliuwa watu 27 Pemba waliokuwa wakiandamana.Kuna sehemu nimeikuta,lakini kama tutakubali kukumbatia utawala wakifisadi yanatokea kama haya👇
Askari ni Adui namba moja wa Raia
1. Askari amemuua Mwangosi
2. Askari chini ya Zombe wameua wafanya biashara ya madini
3. Askari chini ya JPM wameua watu kwa kisingizio cha wasiojulikana Mbaya zaidi Ben saa nane akapelekwa Mbudya kuliwa na Chatu
4. Askari wamebambikia watu kesi cc @mdudechadematz
5. Askari wamefanya mauaji Mtwara
KIFUPI ASKARI NI ADUI NAMBA MOJA WA RAIA NA USIJE KUKUBALI MWANAO AKAWA ASKARI NI LAANA
At least umeonyesha kuwa hata wenzetu mlioko ktk vyombo vya usalama mnakerwa na mpo pamoja na ndiu zenu wananchi kupinga huu unyonjaji na ukandamizaji wa haki za raia, ikiwa kama hili andiko ni l kweli.Kiukweli binafsi naamini ndiyo siku ambayo itakuwa ya kihistoria katika Taifa langu la Tanganyika.
Naamini pia mabadiliko makubwa yatatokea. Sasa Kuna inshu lazima kuwaonea hofu wananchi ambao watajitolea kupambania haki zetu kutoka kwa mafisadi wa nchi hii.
Kama tunavyoelewa asilimia kubwa ya watanzani ni waoga kwa kuendekeza ujinga kwa watawala. Tunaogopa kudai haki zetu hata kama tunayo haki ya kufanya hivyo.
Hii yote inatokana na hofu ya kesho juu kitumbua changu. Kwani ukiangalia uwezo wa kulipia mwanasheria ndiyo changamoto.
Lakini kama itatokea wanasheria watajitolea pindi mambo yakiwa tofauti, basi naamini watu watakao jitokeza nahisi hakuna watakaoweza kuwazui pia nahisi historian itaandikwa siku hiyo.
Tunahitaji wanasheria watuunge mkono aswa wakina Madereka, kibatara, mwambu..,na aswa zaidi mawakili wa kesi ya ugaidi ya mbowe na mawakili walio jitokeza kuwatetea wakina dr.slaa na kina mdude kule mbeya.
Hii itatufanya kuwa na Imani na hali ya ujasili kuweza kupambania haki yetu dhidi ya wanyang'anyi walioteyali kufanya lolote pale wanapoona mirija yao ya ufisadi inaenda kukatwa.
Tulio wengi humu wengine ni maasikari, watumishi waaminifu kwa serikali ya CCM tunasindwa kuwa upande wa raia moja kwa moja kutokana na kuhofia kupoteza haki yangu ya kuishi Mimi ama wanao nitegemea.
Yote kwa yote tunaunga mkono nguvu ya umma.
DP World anaanza kazi mapema Novemba pale TPA, unaposema uachane nae unao utayari pia wa kuachana na waendeshaji ambao barua zao za kutangaza zabuni zinaendelea kuweka hadharani kila kukicha?.Kiukweli binafsi naamini ndiyo siku ambayo itakuwa ya kihistoria katika Taifa langu la Tanganyika.
Naamini pia mabadiliko makubwa yatatokea. Sasa Kuna inshu lazima kuwaonea hofu wananchi ambao watajitolea kupambania haki zetu kutoka kwa mafisadi wa nchi hii.
Kama tunavyoelewa asilimia kubwa ya watanzani ni waoga kwa kuendekeza ujinga kwa watawala. Tunaogopa kudai haki zetu hata kama tunayo haki ya kufanya hivyo.
Hii yote inatokana na hofu ya kesho juu kitumbua changu. Kwani ukiangalia uwezo wa kulipia mwanasheria ndiyo changamoto.
Lakini kama itatokea wanasheria watajitolea pindi mambo yakiwa tofauti, basi naamini watu watakao jitokeza nahisi hakuna watakaoweza kuwazui pia nahisi historian itaandikwa siku hiyo.
Tunahitaji wanasheria watuunge mkono aswa wakina Madereka, kibatara, mwambu..,na aswa zaidi mawakili wa kesi ya ugaidi ya mbowe na mawakili walio jitokeza kuwatetea wakina dr.slaa na kina mdude kule mbeya.
Hii itatufanya kuwa na Imani na hali ya ujasili kuweza kupambania haki yetu dhidi ya wanyang'anyi walioteyali kufanya lolote pale wanapoona mirija yao ya ufisadi inaenda kukatwa.
Tulio wengi humu wengine ni maasikari, watumishi waaminifu kwa serikali ya CCM tunasindwa kuwa upande wa raia moja kwa moja kutokana na kuhofia kupoteza haki yangu ya kuishi Mimi ama wanao nitegemea.
Yote kwa yote tunaunga mkono nguvu ya umma.
Hakuna mwananchi anaejitambua ataenda huko aache mambo yake ya msingi ili kuwapa kiki watu wasiojielewa, walioshindwa kuongeza hata familia zao.Kiukweli binafsi naamini ndiyo siku ambayo itakuwa ya kihistoria katika Taifa langu la Tanganyika.