Kuelekea siku 30 za kuishinikiza Serikali kuachana na mkataba wa DPW na kudai katiba Mpya, tunaomba assurance kutoka kwa mawakili

Hao wako busy na miradi chungu mzima. Kule hakuna mijadala mirefu ya kifala ni action tu kwao. Kama bandari ya dar haiko tayari kuna fursa mahali pengi. Kalieni tu uchumi mpaka akili itakapo kaa sawa
Mkuu Kila kitu kifanyike kwa utaratibu,pasipo janjajanja ya kuchezea karamu
 
MmeChelewa jamvini karamu imeshaliwa.

sasa hivi tunaongelea bandari iliyosahauliwa ya Mtwara na bandari ya zamani zaidi Kihistoria ya Kilwa.

kazi moto moto zinaendelea huko.

Bagamoyo inaanza ujenzi kabla ya mwaka huu wa fedha kwisha.

miji yote iliyosahauliwa kwa miaka zaidi ya 60 lazima inyanyuke kiuchumi.

Maendeleo hayazuwiliki tena.
Mtani mbona kama mmekumbuka shuka kukiwa tayari kumepambazuka! Miaka yote 60 mlikuwa wapi tangu Uhuru hadi Leo?
 
Kuna sehemu nimeikuta,lakini kama tutakubali kukumbatia utawala wakifisadi yanatokea kama haya👇

Askari ni Adui namba moja wa Raia
1. Askari amemuua Mwangosi
2. Askari chini ya Zombe wameua wafanya biashara ya madini
3. Askari chini ya JPM wameua watu kwa kisingizio cha wasiojulikana Mbaya zaidi Ben saa nane akapelekwa Mbudya kuliwa na Chatu
4. Askari wamebambikia watu kesi cc @mdudechadematz
5. Askari wamefanya mauaji Mtwara

KIFUPI ASKARI NI ADUI NAMBA MOJA WA RAIA NA USIJE KUKUBALI MWANAO AKAWA ASKARI NI LAANA
Askari waliuwa watu 27 Pemba waliokuwa wakiandamana.
 
Kiukweli binafsi naamini ndiyo siku ambayo itakuwa ya kihistoria katika Taifa langu la Tanganyika.

Naamini pia mabadiliko makubwa yatatokea. Sasa Kuna inshu lazima kuwaonea hofu wananchi ambao watajitolea kupambania haki zetu kutoka kwa mafisadi wa nchi hii.

Kama tunavyoelewa asilimia kubwa ya watanzani ni waoga kwa kuendekeza ujinga kwa watawala. Tunaogopa kudai haki zetu hata kama tunayo haki ya kufanya hivyo.

Hii yote inatokana na hofu ya kesho juu kitumbua changu. Kwani ukiangalia uwezo wa kulipia mwanasheria ndiyo changamoto.

Lakini kama itatokea wanasheria watajitolea pindi mambo yakiwa tofauti, basi naamini watu watakao jitokeza nahisi hakuna watakaoweza kuwazui pia nahisi historian itaandikwa siku hiyo.

Tunahitaji wanasheria watuunge mkono aswa wakina Madereka, kibatara, mwambu..,na aswa zaidi mawakili wa kesi ya ugaidi ya mbowe na mawakili walio jitokeza kuwatetea wakina dr.slaa na kina mdude kule mbeya.

Hii itatufanya kuwa na Imani na hali ya ujasili kuweza kupambania haki yetu dhidi ya wanyang'anyi walioteyali kufanya lolote pale wanapoona mirija yao ya ufisadi inaenda kukatwa.

Tulio wengi humu wengine ni maasikari, watumishi waaminifu kwa serikali ya CCM tunasindwa kuwa upande wa raia moja kwa moja kutokana na kuhofia kupoteza haki yangu ya kuishi Mimi ama wanao nitegemea.

Yote kwa yote tunaunga mkono nguvu ya umma.
At least umeonyesha kuwa hata wenzetu mlioko ktk vyombo vya usalama mnakerwa na mpo pamoja na ndiu zenu wananchi kupinga huu unyonjaji na ukandamizaji wa haki za raia, ikiwa kama hili andiko ni l kweli.

Lakini, hamuihitaji Mawakili, fanyeni kama walivyofanya wanajeshi na mapolisi wa Mistri... walipoambiwa wawatoe watu kwa Road, wakasema hawa watu ni wengi mno, yanaweza kutokea mauaji ya watu wengi sana, khy ninyi watawala wajibuni hao wananchi hoja zao ili warudi majumbani.

Maandamano yalipofika hadi IKULU na watu wakataka kuvamia ndani, na kwa umati ule kwa ha kika Jeshi lisingeweza fanya lolote, badala yake likamshauri Rais resign, ipusha hii dhoruba na maisha ya Wana wa Misri.

Mamlaka ikatii.....Mkifanya hivyo mtakuwa hamana kosa kabisa na hata utawala ujao utaendele kufanya kazi nanyi. Ila mkiona mnatumwa na Mabosi wenu kufanya vitu vya kiharamia na kuwauumiza watanzania wenzenu, gomeni..mbona ninyi ndio wengi na mnaweza kuwa na maamuzi ya busara zaidi kuliko huyo Bosi wenu mmoja.

Kila la kheri!
 
Kiukweli binafsi naamini ndiyo siku ambayo itakuwa ya kihistoria katika Taifa langu la Tanganyika.

Naamini pia mabadiliko makubwa yatatokea. Sasa Kuna inshu lazima kuwaonea hofu wananchi ambao watajitolea kupambania haki zetu kutoka kwa mafisadi wa nchi hii.

Kama tunavyoelewa asilimia kubwa ya watanzani ni waoga kwa kuendekeza ujinga kwa watawala. Tunaogopa kudai haki zetu hata kama tunayo haki ya kufanya hivyo.

Hii yote inatokana na hofu ya kesho juu kitumbua changu. Kwani ukiangalia uwezo wa kulipia mwanasheria ndiyo changamoto.

Lakini kama itatokea wanasheria watajitolea pindi mambo yakiwa tofauti, basi naamini watu watakao jitokeza nahisi hakuna watakaoweza kuwazui pia nahisi historian itaandikwa siku hiyo.

Tunahitaji wanasheria watuunge mkono aswa wakina Madereka, kibatara, mwambu..,na aswa zaidi mawakili wa kesi ya ugaidi ya mbowe na mawakili walio jitokeza kuwatetea wakina dr.slaa na kina mdude kule mbeya.

Hii itatufanya kuwa na Imani na hali ya ujasili kuweza kupambania haki yetu dhidi ya wanyang'anyi walioteyali kufanya lolote pale wanapoona mirija yao ya ufisadi inaenda kukatwa.

Tulio wengi humu wengine ni maasikari, watumishi waaminifu kwa serikali ya CCM tunasindwa kuwa upande wa raia moja kwa moja kutokana na kuhofia kupoteza haki yangu ya kuishi Mimi ama wanao nitegemea.

Yote kwa yote tunaunga mkono nguvu ya umma.
DP World anaanza kazi mapema Novemba pale TPA, unaposema uachane nae unao utayari pia wa kuachana na waendeshaji ambao barua zao za kutangaza zabuni zinaendelea kuweka hadharani kila kukicha?.

Hii ni aibu sio ya kwako pekee bali ni ya uongozi wa juu wa kanisa letu katoliki la mitume.
 
Kiukweli binafsi naamini ndiyo siku ambayo itakuwa ya kihistoria katika Taifa langu la Tanganyika.

Naamini pia mabadiliko makubwa yatatokea. Sasa Kuna inshu lazima kuwaonea hofu wananchi ambao watajitolea kupambania haki zetu kutoka kwa mafisadi wa nchi hii.

Kama tunavyoelewa asilimia kubwa ya watanzani ni waoga kwa kuendekeza ujinga kwa watawala. Tunaogopa kudai haki zetu hata kama tunayo haki ya kufanya hivyo.

Hii yote inatokana na hofu ya kesho juu kitumbua changu. Kwani ukiangalia uwezo wa kulipia mwanasheria ndiyo changamoto.

Lakini kama itatokea wanasheria watajitolea pindi mambo yakiwa tofauti, basi naamini watu watakao jitokeza nahisi hakuna watakaoweza kuwazui pia nahisi historian itaandikwa siku hiyo.

Tunahitaji wanasheria watuunge mkono aswa wakina Madereka, kibatara, mwambu..,na aswa zaidi mawakili wa kesi ya ugaidi ya mbowe na mawakili walio jitokeza kuwatetea wakina dr.slaa na kina mdude kule mbeya.

Hii itatufanya kuwa na Imani na hali ya ujasili kuweza kupambania haki yetu dhidi ya wanyang'anyi walioteyali kufanya lolote pale wanapoona mirija yao ya ufisadi inaenda kukatwa.

Tulio wengi humu wengine ni maasikari, watumishi waaminifu kwa serikali ya CCM tunasindwa kuwa upande wa raia moja kwa moja kutokana na kuhofia kupoteza haki yangu ya kuishi Mimi ama wanao nitegemea.

Yote kwa yote tunaunga mkono nguvu ya umma.
Hakuna mwananchi anaejitambua ataenda huko aache mambo yake ya msingi ili kuwapa kiki watu wasiojielewa, walioshindwa kuongeza hata familia zao.
 
Back
Top Bottom