Kuelekea siku 30 za kuishinikiza Serikali kuachana na mkataba wa DPW na kudai katiba Mpya, tunaomba assurance kutoka kwa mawakili

Maan

Member
Joined
Sep 11, 2023
Posts
50
Reaction score
76
Kiukweli binafsi naamini ndiyo siku ambayo itakuwa ya kihistoria katika Taifa langu la Tanganyika.

Naamini pia mabadiliko makubwa yatatokea. Sasa Kuna inshu lazima kuwaonea hofu wananchi ambao watajitolea kupambania haki zetu kutoka kwa mafisadi wa nchi hii.

Kama tunavyoelewa asilimia kubwa ya watanzani ni waoga kwa kuendekeza ujinga kwa watawala. Tunaogopa kudai haki zetu hata kama tunayo haki ya kufanya hivyo.

Hii yote inatokana na hofu ya kesho juu kitumbua changu. Kwani ukiangalia uwezo wa kulipia mwanasheria ndiyo changamoto.

Lakini kama itatokea wanasheria watajitolea pindi mambo yakiwa tofauti, basi naamini watu watakao jitokeza nahisi hakuna watakaoweza kuwazui pia nahisi historian itaandikwa siku hiyo.

Tunahitaji wanasheria watuunge mkono aswa wakina Madereka, kibatara, mwambu..,na aswa zaidi mawakili wa kesi ya ugaidi ya mbowe na mawakili walio jitokeza kuwatetea wakina dr.slaa na kina mdude kule mbeya.

Hii itatufanya kuwa na Imani na hali ya ujasili kuweza kupambania haki yetu dhidi ya wanyang'anyi walioteyali kufanya lolote pale wanapoona mirija yao ya ufisadi inaenda kukatwa.

Tulio wengi humu wengine ni maasikari, watumishi waaminifu kwa serikali ya CCM tunasindwa kuwa upande wa raia moja kwa moja kutokana na kuhofia kupoteza haki yangu ya kuishi Mimi ama wanao nitegemea.

Yote kwa yote tunaunga mkono nguvu ya umma.
 
Hivi mbona waarabu wa DP WORLD hawatoi msimamo wao kuhusu hili sakata?

Au kuna umafia unaendelea kichini chini sisi hatujui?
Wao wamewapa watu wa kuwapambania wakiwamo viongozi wetu tulio waamini serikalini na taasisi zilizo regerege ambazo hazina msimamo ambazo ni raisi kuzionga na kukaa kimya
 
Kuna sehemu nimeikuta,lakini kama tutakubali kukumbatia utawala wakifisadi yanatokea kama haya👇

Askari ni Adui namba moja wa Raia
1. Askari amemuua Mwangosi
2. Askari chini ya Zombe wameua wafanya biashara ya madini
3. Askari chini ya JPM wameua watu kwa kisingizio cha wasiojulikana Mbaya zaidi Ben saa nane akapelekwa Mbudya kuliwa na Chatu
4. Askari wamebambikia watu kesi cc @mdudechadematz
5. Askari wamefanya mauaji Mtwara

KIFUPI ASKARI NI ADUI NAMBA MOJA WA RAIA NA USIJE KUKUBALI MWANAO AKAWA ASKARI NI LAANA
 
Kiukweli binafsi naamini ndiyo siku ambayo itakuwa ya kihistoria katika Taifa langu la Tanganyika.

Naamini pia mabadiliko makubwa yatatokea. Sasa Kuna inshu lazima kuwaonea hofu wananchi ambao watajitolea kupambania haki zetu kutoka kwa mafisadi wa nchi hii.

Kama tunavyoelewa asilimia kubwa ya watanzani ni waoga kwa kuendekeza ujinga kwa watawala. Tunaogopa kudai haki zetu hata kama tunayo haki ya kufanya hivyo.

Hii yote inatokana na hofu ya kesho juu kitumbua changu. Kwani ukiangalia uwezo wa kulipia mwanasheria ndiyo changamoto.

Lakini kama itatokea wanasheria watajitolea pindi mambo yakiwa tofauti, basi naamini watu watakao jitokeza nahisi hakuna watakaoweza kuwazui pia nahisi historian itaandikwa siku hiyo.

Tunahitaji wanasheria watuunge mkono aswa wakina Madereka, kibatara, mwambu..,na aswa zaidi mawakili wa kesi ya ugaidi ya mbowe na mawakili walio jitokeza kuwatetea wakina dr.slaa na kina mdude kule mbeya.

Hii itatufanya kuwa na Imani na hali ya ujasili kuweza kupambania haki yetu dhidi ya wanyang'anyi walioteyali kufanya lolote pale wanapoona mirija yao ya ufisadi inaenda kukatwa.

Tulio wengi humu wengine ni maasikari, watumishi waaminifu kwa serikali ya CCM tunasindwa kuwa upande wa raia moja kwa moja kutokana na kuhofia kupoteza haki yangu ya kuishi Mimi ama wanao nitegemea.

Yote kwa yote tunaunga mkono nguvu ya umma.
kwenda zako haki zetu na nani?
sema haki yako!

mi haki yangu napata vizuri usinihusishe kabisa na fujo tafadhali!
 
Kuna sehemu nimeikuta,lakini kama tutakubali kukumbatia utawala wakifisadi yanatokea kama haya[emoji116]

Askari ni Adui namba moja wa Raia
1. Askari amemuua Mwangosi
2. Askari chini ya Zombe wameua wafanya biashara ya madini
3. Askari chini ya JPM wameua watu kwa kisingizio cha wasiojulikana Mbaya zaidi Ben saa nane akapelekwa Mbudya kuliwa na Chatu
4. Askari wamebambikia watu kesi cc @mdudechadematz
5. Askari wamefanya mauaji Mtwara

KIFUPI ASKARI NI ADUI NAMBA MOJA WA RAIA NA USIJE KUKUBALI MWANAO AKAWA ASKARI NI LAANA
Mie ninaunga mkono maandamano yasiyo na ukomo,na nitajitokeza mimi na familia yangu,lkn tusichanganye mambo,na tusipende kutunga vitu vya hivyo visivyo kuwa na msingi,eti kwa sababu tu nyie ni wapinzani.mauaji ya rufiji na kibiti ulikuwa ni ugaidi,na usingekuwa ushupavu wa mkuu wa nchi na vyombo vya dola,huo ugaidi ungeenea nchi nzima.na ilikuwa ni hatari kwa amani na usalama wa nchi.
 
Hivi mbona waarabu wa DP WORLD hawatoi msimamo wao kuhusu hili sakata?

Au kuna umafia unaendelea kichini chini sisi hatujui?
Msimamo wa nini wakati mmeshasaini mkataba wanasubiri utekelezaji? Mkiwazuia ndio mtaona cha moto. Kwani waliwalazimisha? Si mlikwenda wenyewe na vikundi vyenu vya Sanaa mkasaini? Mmekubali kuolewa mtakataa kulala bila chupi?
 
Hakuna maandamano ndugu mimi binafsi niko tayari kuandamana lakini kwa dar idadi yetu itakuwa inahesabika

Na kitakachotokea ni mabomu ya machozi, virungu vya ugoko na kupoteana baadae kusikia kadhaa wanashikiliwa

Kuna baadhi ya maeneo kutakuwa na muitikio kama mbeya, Arusha umasaini huko watumie nguvu kuhakikisha muitikio kwenye hayo maeneo unakuwa mkubwa na bila kikomo ili kushawishi maeneo mengine

Sababu ya maandamano kuwa magumu ni kukosa uhamasishaji
Kungekuwa na namna ya kusambaza habari kwa wingi wake kwenye mitandao yote
Na kila mmoja ambaye hapendezwi na haya yanayoendelea nchini kwetu
Aweze ku share kila siku

Lengo iwe ni habari inayoenda ikimfkia kila mmoja wetu ili kuleta wepesi baadae

Vipeperushi: chama kama chadema kingetumia watu wake katika ngazi hadi za kata nchi nzima kusambaza vipeperushi tofauti tofauti vya namna katiba tulio nayo inavyoathiri maisha yetu na ni madhara gani ambayo yatatokea baadae zaidi

Labda kila wiki vipeperushi vinatolewa mtaani na mtandaoni watu wana share
Yeyote asiyepedezwa na mwenendo wa nchi ahamasishwe kushare

Lakini ni wangapi ambao tutajitokeza kuandamana kati yetu ambao tuko humu mitandaoni na hatukubaliani na mwenendo wa serikali yetu
Au tunadhani kwamba maandamano ni kwaajili ya watu fulani fulani tu
Kuanzia club house, space na wote mnaoguswa na wanaharakati mbalimbali wanaopambania hii nchi
 
Kiukweli binafsi naamini ndiyo siku ambayo itakuwa ya kihistoria katika Taifa langu la Tanganyika.

Naamini pia mabadiliko makubwa yatatokea. Sasa Kuna inshu lazima kuwaonea hofu wananchi ambao watajitolea kupambania haki zetu kutoka kwa mafisadi wa nchi hii.

Kama tunavyoelewa asilimia kubwa ya watanzani ni waoga kwa kuendekeza ujinga kwa watawala. Tunaogopa kudai haki zetu hata kama tunayo haki ya kufanya hivyo.

Hii yote inatokana na hofu ya kesho juu kitumbua changu. Kwani ukiangalia uwezo wa kulipia mwanasheria ndiyo changamoto.

Lakini kama itatokea wanasheria watajitolea pindi mambo yakiwa tofauti, basi naamini watu watakao jitokeza nahisi hakuna watakaoweza kuwazui pia nahisi historian itaandikwa siku hiyo.

Tunahitaji wanasheria watuunge mkono aswa wakina Madereka, kibatara, mwambu..,na aswa zaidi mawakili wa kesi ya ugaidi ya mbowe na mawakili walio jitokeza kuwatetea wakina dr.slaa na kina mdude kule mbeya.

Hii itatufanya kuwa na Imani na hali ya ujasili kuweza kupambania haki yetu dhidi ya wanyang'anyi walioteyali kufanya lolote pale wanapoona mirija yao ya ufisadi inaenda kukatwa.

Tulio wengi humu wengine ni maasikari, watumishi waaminifu kwa serikali ya CCM tunasindwa kuwa upande wa raia moja kwa moja kutokana na kuhofia kupoteza haki yangu ya kuishi Mimi ama wanao nitegemea.

Yote kwa yote tunaunga mkono nguvu ya umma.
Tulio wengi humu wengine ni maasikari, watumishi waaminifu kwa serikali ya CCM tunasindwa kuwa upande wa raia moja kwa moja kutokana na kuhofia kupoteza haki yangu ya kuishi Mimi ama wanao nitegemea.

Yote kwa yote tunaunga mkono nguvu ya umma.[emoji173][emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haitatokea hakuna mtu mjinga wa kuacha shughuli zake za kujitafutia riziki eti akaandamane, sahau
 
Mie ninaunga mkono maandamano yasiyo na ukomo,na nitajitokeza mimi na familia yangu,lkn tusichanganye mambo,na tusipende kutunga vitu vya hivyo visivyo kuwa na msingi,eti kwa sababu tu nyie ni wapinzani.mauaji ya rufiji na kibiti ulikuwa ni ugaidi,na usingekuwa ushupavu wa mkuu wa nchi na vyombo vya dola,huo ugaidi ungeenea nchi nzima.na ilikuwa ni hatari kwa amani na usalama wa nchi.
Vipi kuhusu yule mwandishi aliyepotea kule kibiti hadi Leo,Nasikia alikuwa na Kila kitu kuhusu inshu ya kibiti
 
Kiukweli binafsi naamini ndiyo siku ambayo itakuwa ya kihistoria katika Taifa langu la Tanganyika.

Naamini pia mabadiliko makubwa yatatokea. Sasa Kuna inshu lazima kuwaonea hofu wananchi ambao watajitolea kupambania haki zetu kutoka kwa mafisadi wa nchi hii.

Kama tunavyoelewa asilimia kubwa ya watanzani ni waoga kwa kuendekeza ujinga kwa watawala. Tunaogopa kudai haki zetu hata kama tunayo haki ya kufanya hivyo.

Hii yote inatokana na hofu ya kesho juu kitumbua changu. Kwani ukiangalia uwezo wa kulipia mwanasheria ndiyo changamoto.

Lakini kama itatokea wanasheria watajitolea pindi mambo yakiwa tofauti, basi naamini watu watakao jitokeza nahisi hakuna watakaoweza kuwazui pia nahisi historian itaandikwa siku hiyo.

Tunahitaji wanasheria watuunge mkono aswa wakina Madereka, kibatara, mwambu..,na aswa zaidi mawakili wa kesi ya ugaidi ya mbowe na mawakili walio jitokeza kuwatetea wakina dr.slaa na kina mdude kule mbeya.

Hii itatufanya kuwa na Imani na hali ya ujasili kuweza kupambania haki yetu dhidi ya wanyang'anyi walioteyali kufanya lolote pale wanapoona mirija yao ya ufisadi inaenda kukatwa.

Tulio wengi humu wengine ni maasikari, watumishi waaminifu kwa serikali ya CCM tunasindwa kuwa upande wa raia moja kwa moja kutokana na kuhofia kupoteza haki yangu ya kuishi Mimi ama wanao nitegemea.

Yote kwa yote tunaunga mkono nguvu ya umma.
MmeChelewa jamvini karamu imeshaliwa.

sasa hivi tunaongelea bandari iliyosahauliwa ya Mtwara na bandari ya zamani zaidi Kihistoria ya Kilwa.

kazi moto moto zinaendelea huko.

Bagamoyo inaanza ujenzi kabla ya mwaka huu wa fedha kwisha.

miji yote iliyosahauliwa kwa miaka zaidi ya 60 lazima inyanyuke kiuchumi.

Maendeleo hayazuwiliki tena.
 
Hivi mbona waarabu wa DP WORLD hawatoi msimamo wao kuhusu hili sakata?

Au kuna umafia unaendelea kichini chini sisi hatujui?
Hao wako busy na miradi chungu mzima. Kule hakuna mijadala mirefu ya kifala ni action tu kwao. Kama bandari ya dar haiko tayari kuna fursa mahali pengi. Kalieni tu uchumi mpaka akili itakapo kaa sawa
 
Hivi mbona waarabu wa DP WORLD hawatoi msimamo wao kuhusu hili sakata?

Au kuna umafia unaendelea kichini chini sisi hatujui?
Hao majibu yao ni kazi tu.

Hawana muda wa porojo.
 
Hakuna maandamano ndugu mimi binafsi niko tayari kuandamana lakini kwa dar idadi yetu itakuwa inahesabika

Na kitakachotokea ni mabomu ya machozi, virungu vya ugoko na kupoteana baadae kusikia kadhaa wanashikiliwa

Kuna baadhi ya maeneo kutakuwa na muitikio kama mbeya, Arusha umasaini huko watumie nguvu kuhakikisha muitikio kwenye hayo maeneo unakuwa mkubwa na bila kikomo ili kushawishi maeneo mengine

Sababu ya maandamano kuwa magumu ni kukosa uhamasishaji
Kungekuwa na namna ya kusambaza habari kwa wingi wake kwenye mitandao yote
Na kila mmoja ambaye hapendezwi na haya yanayoendelea nchini kwetu
Aweze ku share kila siku

Lengo iwe ni habari inayoenda ikimfkia kila mmoja wetu ili kuleta wepesi baadae

Vipeperushi: chama kama chadema kingetumia watu wake katika ngazi hadi za kata nchi nzima kusambaza vipeperushi tofauti tofauti vya namna katiba tulio nayo inavyoathiri maisha yetu na ni madhara gani ambayo yatatokea baadae zaidi

Labda kila wiki vipeperushi vinatolewa mtaani na mtandaoni watu wana share
Yeyote asiyepedezwa na mwenendo wa nchi ahamasishwe kushare

Lakini ni wangapi ambao tutajitokeza kuandamana kati yetu ambao tuko humu mitandaoni na hatukubaliani na mwenendo wa serikali yetu
Au tunadhani kwamba maandamano ni kwaajili ya watu fulani fulani tu
Kuanzia club house, space na wote mnaoguswa na wanaharakati mbalimbali wanaopambania hii nchi
Shida watanzania tumejengewa hofu ndani yetu na woga kutoka kwa watawala. Ila Nina Imani wakina mdude na team nzima ya kutetea bandali watakuwa na mkakati Bora wa kutuunganisha.
 
Tulio wengi humu wengine ni maasikari, watumishi waaminifu kwa serikali ya CCM tunasindwa kuwa upande wa raia moja kwa moja kutokana na kuhofia kupoteza haki yangu ya kuishi Mimi ama wanao nitegemea.

Yote kwa yote tunaunga mkono nguvu ya umma.[emoji173][emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi lakini hatuwezi kuungana na nguvu ya umma waziwazi pasipo nguvu ya umma kuwa na umoja ili ionekanike tumeelemewa. Tutapata sababu ya kuungana nap.
 
Hao majibu yao ni kazi tu.

Hawana muda wa porojo.
Hahah ndugu yangu faizafoxy,kumbe upo!! Hahahahahaha.....kitambo sana kipindi Cha marelia sugu. Nimekumis sana mtani
 
Back
Top Bottom