Elections 2010 Kuelekea Uchaguzi mkuu CHADEMA Sept. 2009

Status
Not open for further replies.

Huyu naye......na dua la kuku kamwe haliwapati mwewe, wataendelea kukudonowa hadi ubaki mifupa...

omarilyas
 
Mwiba, CUF imekukaa sana kichwani, sidhani kama CHADEMA wanaweza kudesa chochote toka katika ukiritimba wa uongozi wa CUF
Kibunango, rangi ya kijani inakuuuma kweli,umeivaa hasa, hee!!
......Inaonyesha wazi kuwa Dr.Slaa kuchukua form imewakuna kichizi....Na bado list ni kubwa..
Mkandara ww utagombea nafasi gani, nlikuwa sijuwi kama ww chadema ati!!
 
Mimi nafikiri hujamwelewa mwiba ana maanisha nini,hasa kwa siasa za tz.
 
Upo sahihi Mkuu, tatizo nia ya dhati ya viongozi wetu wa kisiasa.
 
theory na practical ni vitu viwili vilivyo na mtazamo unaoelekeana lakini ktk uhalisia ni vitu viwili tofauti.
 
Hakuna cha theory bwana Mkapa, hilo linawezekana na liliwezekana 2000.
 
Huyu naye......na dua la kuku kamwe haliwapati mwewe, wataendelea kukudonowa hadi ubaki mifupa...

omarilyas

Kama Omar, pamoja na kwamba Mwiba ana lake jambo kuhusu Chadema, na ndio maana mara nyingi huwa natofautiana naye lakini bado kuna eneo ambalo hoja yake ina nguvu. Hoja yake ina nguvu katika kuhakikisha vyama vyote vya upinzani (ikiwamo Chadema na CUF) ni lazima viwe na mtandao mkali wa kiintelijensia kukabiliana na mbinu za chama tawala.

Hili naamini linahitaji gharama na muda lakini zaidi utashi, ari na kujituma. Mwiba anaweza kuwa ana watu anawalenga, lakini la msingi ni vyema kila chama kikatafuta ushauri wa kitaalamu katika kung'amua kila aina ya mbinu chafu. Wapo watu wenye uwezo na ambao wanaweza kuifanya kazi hiyo bureee!

Lakini pia si vyama vya siasa pekee, hata JF na media nao wawe macho.
 
Yaani Mkapa(fisadi papa No.6) ni jina kubwa.
Umezipata wapi fikra hizi za "ki-halmashauri kuu ya taifa CCM?"

Teh teh teh mumeambiwa mumuache ni mtaafu huyo hahahahah.....asiguswe!
 
kama hawachezi drama ngoja mheshimiwa utakumbuka maneno ya mwiba

Sorry MkamaP kukuita Mkapa>>> Tukirudi kwenye mada maneno yako yana uzito mkubwa, lakini nilishasema hakuna theory kwa kuwa inawezekana na hata wakivurunda pia si theory ni wameamua tu hakuna bahati mbaya hapo
 
Yaani Mkapa(fisadi papa No.6) ni jina kubwa.
Umezipata wapi fikra hizi za "ki-halmashauri kuu ya taifa CCM?"

Mtakuwa hamlitendi jina haki,maana kabla ya mwaka 1995 aliyejulikana sana mkapa ni benki no 3 wa yanga Keneth Mkapa, sasa sijui ninyi mna mrefer nani?
 
Sorry MkamaP kukuita Mkapa>>> Tukirudi kwenye mada maneno yako yana uzito mkubwa, lakini nilishasema hakuna theory kwa kuwa inawezekana na hata wakivurunda pia si theory ni wameamua tu hakuna bahati mbaya hapo

wenye mapendo na Taifa hili ni wachache (wenda wasiwepo kabisa)wengi wanakwenda kwa mi target yao wenyewe wanayoijuwa.
 
Mtakuwa hamlitendi jina haki,maana kabla ya mwaka 1995 aliyejulikana sana mkapa ni benki no 3 wa yanga Keneth Mkapa, sasa sijui ninyi mna mrefer nani?

Yeah Mzee wa Lupaso alikuwa hajulikani sana kabla ya 1995, wengi walikuwa wanamjua Keneth Mkapa wa Yanga....lakini baada ya 2005 ameonyesha uhalisia wake wa ufisadi.
 
CCM inawakuna sana mwaka huu Eeeh!
.......saaaaana tu manake mikwaju mtu na maisha bora nayo....!!!!???
Mtakuwa hamlitendi jina haki,maana kabla ya mwaka 1995 aliyejulikana sana mkapa ni benki no 3 wa yanga Keneth Mkapa, sasa sijui ninyi mna mrefer nani?
Mkapa halitendei haki jina lake mwenyewe badala ya kuji-defend na tuhumu za ufisadi zinazochafua jina lake, yeye kashika kuchochea Sitta an'ngolewe eti anaruhusu wabunge kumtaja taja tuuuuuuuu wakati Chama kimeshaliagiza bunge(Pinda's statement in Parliament) limwache apumzike afaidi ngawira za walalahoi.
 
Kuna taarifa kwamba dr.slaa hakuchukua fomu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…