Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tunaomba ile mada ya Kibanda na Zitto irudishe ili tuwe na rekodi sahihi.vinginevyo utakuwa unabana demokrasia kama Chadema.Kuna vijana kadhaa ndani ya CHADEMA walikuwa wamekomalia kuhakikisha Zitto haendi mbele, imenisikitisha sana. Na tuna nakala ya kila kilichoongeleka katika kikao cha jioni ya leo, baada ya kusikiliza mara kadhaa nimejikuta nakosa imani KABISA! Lakini, muda bado unaruhusu.... Mruhusuni Zitto agombee nafasi ya uenyekiti, acha unyanyasaji kwa kisingizio cha ujana!
Yawezekana kugombea kwake kama angeshindwa kungesababisha 'Anguko lake' ambalo nadhani si 'Anguko la CHADEMA' kama ilivyokwishatabiriwa... Niwahakikishie kuwa kwa kumlazimisha aondoe jina ni kupelekea Anguko la CHADEMA.
Napata wasiwasi ndiyo sababu iliyomfanya Kubenea kuamua kuingia ulingoni kwa kupitia CCM, hajaona 'difference'.
kibanda umeshinda kweli ngoma ya mtoto/kijana haikeshi zitto kawa kama arsenal ya wenger.taarifa nilizonazo mimi ni kwamba, zitto aliwasilisha barua ya kujitoa hata kabla mahojiano hayajamalizika. Alichofanya baada ya kufanya hivyo alipendekeza na mbowe naye ajitoe ili kuleta mshikamano ndani ya chama chao. Hata hivyo wazo hili halijakubalika.
Mkuu nimeipata, nawasiliana na 'mmoja wetu' utaongea nae dakika si nyingi.Mkuu umepata PM yangu?
...nimesikitishwa na nikiwa kama mwamanchama wa CHADEMA nitarudisha kadi yangu rasmi, nimechoka kuona hivi vitimbi.
Napata wasiwasi ndiyo sababu iliyomfanya Kubenea kuamua kuingia ulingoni kwa kupitia CCM, hajaona 'difference'.
Ni dhamira ya Kubenea kufanya vile, ndo naangalia nakuta hata post hapa JF, nikagundua kumbe si siri tena...! Dhamira hii haijafikisha hata siku 4 nadhani lakini ishasambaa, possibly Kubenea anaweza ku-withdraw. Nitaongea naye usiku huu na kuandika alichoongea nami kama yeye.Jambo linalobeba jina la Invisible humu ndani linabeba credibility nzima ya forum. Una hakika na hiyo habari ya Kubenea kwenda CCM Mkuu?
chacha wangwe alifariki dunia lakini maneno yake yanaendelea kuishi
Namheshimu mzee Mtei sana, ni mwanachama wa JF na amechangia mara kadhaa lakini hajataka kuwa Premium Member, ni mtu ambaye naamini anaweza kuja hapa na kutupa mwongozo, hata Dr. Slaa huenda akatupa zaidi ya kile tunachokiona na kukisikia... Ni kesho tu, nitawasiliana na mzee Mtei kujua ana kauli gani katika hili.Chadema ni chama cha wazee ni chama binafsi cha MTEI na wenzake.
Zito amejitoa unconditionally kwenye kinyang'anyiro baada ya kukutana na wazee wa chama.
namheshimu mzee mtei sana, ni mwanachama wa jf na amechangia mara kadhaa lakini hajataka kuwa premium member, ni mtu ambaye naamini anaweza kuja hapa na kutupa mwongozo, hata dr. Slaa huenda akatupa zaidi ya kile tunachokiona na kukisikia... Ni kesho tu, nitawasiliana na mzee mtei kujua ana kauli gani katika hili.
Btw, ndo kunaanza kucha huku nilipo, ni saa 12 na dakika kama 40 alfajiri