Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Watumiaji wa JF wala msihofu, hamna dhoruba itakuja huku, JF ilipataka kashkash 2015 kabla sheria za kubinya binya hazijakandikwa vizuri, saiv wala hawana wasiwasi na JF kwasababu ni ITV nyingine.
 
Tayari whatsapp calls,videos na voice wamesharestrict tumia vpn haraka sana unapata huduma zote hizo
 
Watumiaji wa mtandao wa twitter wanashindwa kupata huduma hiyo kupitia kampuni ya simu ya Vodacom. Tatizo hilo limeanza siku ya leo.
sio vodacom tuu, mitandao yote, mimi natumia halotel twitter na instagram haifanyi kazi
 
Back
Top Bottom