Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Kama mnahitaji zaidi kufungua Basi unaweza kutumiahuduma ya VPN hii inakuwezesha kutumia internet hata kama ikizimwa kabisa
kwa sasa inaonekana kama mtandao umewekwa kuwa slow kwa makusudi
 
IMG_1511.png

Hi apa?
 
Mkuu kuwa verified ina faida gani?
Kwanza lazima ujue ugumu wa kuwa verified mdio utatambua faida zake ! Kwenye terms na condition ili uwe verified ni lazima uwepo wa account yako kuwa verified ni kwa maslahi ya umma kwamba kuna kitu muhimu sana muhusika anacho so ni lazima awe verified ili kutrace uhalisia wa taarifa kwa maana nyingine zile fake DCMA report zilizotumwa na kusababisha zile account kuwa suspended! Watu wengi walirequest handle ya twitter support izifungue tena ndipo ulipoonekana umuhimu wa zile account kuwa verified kwa kifupi pale waliwapiga chura mateke
 
Back
Top Bottom