Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Inasikitisha sana yote haya ya nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuua watu ndo mbinu ya mwisho ya viongozi waliokosa vibali machoni pa wananchi. Meko na CCM pia mmekosa kibali cha watanzania.CCM wana hofu kuu,imagine wanaua watu,wamezima whatsapp call,nasikia leo saa sita mchana bank zinapigwa pini,wamezima whatsapp call,wanazuia SMS,etc.Hii ni hofu ya kukataliwa na wananchiWale walio kua wana sema uyu famba aongezewe mda wa kutawala wame jificha wapi
Niko London nakula maisha, Bongo mnasemaje? Uchaguzi ni lini? Hivi bado CCM wanagombea?maana miaka mingi tunaisikia CCM tu.Weka server ya USA, Canada, UK au Germany utapata social networks zote walizo block! Tumia proton vpn, vpn master au Hotspot Shield
Mimi niko Nevada, USA! Asaiv nawazoom tu huko TZ kama kawa [emoji41][emoji41]
Ina faida nyingi tu moja kubwa huwezi kuwa suspeded hovyo hovyoMkuu kuwa verified ina faida gani?
Mkuu asantePachika app ifuatayo ktk simu yako. Ifungue na ubonyeze palipo andikwa connect. Baada ya hapo rudi twitter ukale kuku kwa mrija
View attachment 1613177
Baadae wanazima internet mazima ambapo VPN haitaweza kufanya kaziTatizo sio voda tu. Ni mitandao yote. Naona Tanzania tumeanza kuwafuata wenzetu kama Ethiopia ambao wao huzima kabisa Internet.
Kila mtu adownload VPN na aconnect. Tweeter itafunguka. Mimi nimefanya hivyo
Hili ni jambo la kawaida sana kwa madikteta, na ni kiashiria kimojawapo cha sifa hiyo.Watumiaji wa mtandao wa twitter wanashindwa kupata huduma hiyo kupitia kampuni ya simu ya Vodacom. Tatizo hilo limeanza siku ya leo.
Ngoja nii download hyo application ya vpnVPN itafanya kazi.Kitu pekee ambacho kitazuia VPN kufanya kazi ni wakate internet mazima Tanzania.Kama internet ipo halafu wakafungia mtandao fulani Tanzania bado utaendelea kuupata huo mtandao
Hawana uwezo huo wa kuzima vpnWakizima ndo bas tena,lakni kwa sasa tutegemee tuu VPN maana ndo inatusaidia
Wanaweza kuanza na JF kwanza kabla hawajafunga kila kitu😊Baadae wanazima internet mazima ambapo VPN haitaweza kufanya kazi
Sasa kama internet tayari iko very slow utadownload vipi?[emoji848][emoji848][emoji848]Ngoja nii download hyo application ya vpn
Download ata hii ipo poaNgoja nii download hyo application ya vpn
Barikiwa sana. Yani haina longolongo hata kupiga simu ni kugumu kuliko hii hapaPachika app ifuatayo ktk simu yako. Ifungue na ubonyeze palipo andikwa connect. Baada ya hapo rudi twitter ukale kuku kwa mrija
View attachment 1613177
Thanks mkuuPachika app ifuatayo ktk simu yako. Ifungue na ubonyeze palipo andikwa connect. Baada ya hapo rudi twitter ukale kuku kwa mrija
View attachment 1613177
Jamaa anazungumzia kuzima internet mazima.Internet ikizimwa VPN haziwezi kufanya kazi tena.Hawana uwezo huo wa kuzima vpn