Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Wale walio kua wana sema uyu famba aongezewe mda wa kutawala wame jificha wapi
Kuua watu ndo mbinu ya mwisho ya viongozi waliokosa vibali machoni pa wananchi. Meko na CCM pia mmekosa kibali cha watanzania.CCM wana hofu kuu,imagine wanaua watu,wamezima whatsapp call,nasikia leo saa sita mchana bank zinapigwa pini,wamezima whatsapp call,wanazuia SMS,etc.Hii ni hofu ya kukataliwa na wananchi
 
Weka server ya USA, Canada, UK au Germany utapata social networks zote walizo block! Tumia proton vpn, vpn master au Hotspot Shield

Mimi niko Nevada, USA! Asaiv nawazoom tu huko TZ kama kawa [emoji41][emoji41]
Niko London nakula maisha, Bongo mnasemaje? Uchaguzi ni lini? Hivi bado CCM wanagombea?maana miaka mingi tunaisikia CCM tu.
 
Tatizo sio voda tu. Ni mitandao yote. Naona Tanzania tumeanza kuwafuata wenzetu kama Ethiopia ambao wao huzima kabisa Internet.

Kila mtu adownload VPN na aconnect. Tweeter itafunguka. Mimi nimefanya hivyo
Baadae wanazima internet mazima ambapo VPN haitaweza kufanya kazi
 
Watumiaji wa mtandao wa twitter wanashindwa kupata huduma hiyo kupitia kampuni ya simu ya Vodacom. Tatizo hilo limeanza siku ya leo.
Hili ni jambo la kawaida sana kwa madikteta, na ni kiashiria kimojawapo cha sifa hiyo.
Mimi Vodacom nilikwishawaacha siku nyingi.
 
VPN itafanya kazi.Kitu pekee ambacho kitazuia VPN kufanya kazi ni wakate internet mazima Tanzania.Kama internet ipo halafu wakafungia mtandao fulani Tanzania bado utaendelea kuupata huo mtandao
Ngoja nii download hyo application ya vpn
 
Voda hata wakizima net yao ni sawa tu kwani si mali ya Ccm,haina ubaya kama wameamua ivyo
 
Ngoja nii download hyo application ya vpn
Download ata hii ipo poa
Screenshot_20201027_083454.jpg
 
Back
Top Bottom