Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Ni kuwaaadhibu tu kwa kuachana kabisa na huduma zao kwani wamekubali kutumika ili kuficha maovu nchini.
Mkuu, tutakimbilia waaapiiii?
Nao wanajua hilo. Kama tumenyimwa MAKATE, tutapata KEKI?
Ndio maana tunasema tuchague HAKI NA UHURU!
 
Hata instagram ilikuwa haifanyi kazi, nimewasha VPN ndo imekubali. Nikitumamsg yeneye maneno kama Kura haziendi, hata kupiga haziendi
Ivi ukiwasha vpn ukatuma msg kwa watu ambao hawajawasha wanaziona msg?
 
Watu tunaperuzi kama kawaida na ipo fasta mpk raha 🤣🤣🤣
Weka server ya USA, Canada, UK au Germany utapata social networks zote walizo block! Tumia proton vpn, vpn master au Hotspot Shield

Mimi niko Nevada,
 
Nimeshatoa angalizo kwamba kuna taasisi zinataka kujenga chuki kati ya CCM na wananchi, tena bila kujali huu ni wakati wa uchaguzi.

Tutawaaminisha wananchi kwamba yule nguli wa sheria anayosema ni ya kweli
 
Ivi ukiwasha vpn ukatuma msg kwa watu ambao hawajawasha wanaziona msg?
VPN inafanya kazi na vitu vinavyohusiana na internet kama whatsapp, instagram, telegram, browsing. Kama hana tatizo la netowrk atazipokea tu
 
Doh..ndio maana kila muda na zima na kiwasha simu yangu[emoji23]
Nilikua nikidhani Tweeter haifunguki kwa ajili ya network[emoji1787]
 
Itendee haki nafsi yako kesho ni siku maalumu ya kulipiza kisasi kwa mabaya yote uliyotendewa na Utawala huu dhalimu. Weka tiki (vema) kwenye jina la mwisho la mgombea, hakikisha hiyo vema ama tiki yako haitoki nje ya kibox (kisanduku). Pia usitoboe macho kwa mgombea number moja kwa hasira maana kufanya hivyo utakuwa umeharibu kura yako.
 
Kaka natumia pc naomba procedure za ku-download VPN Plz
Mbona watu wameshaelezea kwenye comments za mwanzoni

Nenda play store down load either UFO VPN
hii ukishadownload bonyeza connect then tayari
PROTON VPN
Hii unahitajika u sign up uweze kua na account then unaverify code kwa email au sms tayari unaanza kutumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…