Mbwichichi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2018
- 297
- 1,687
halafu bado kuna watu wanafurahia haya mambo,aiseee
nauliza wenye iphone tunafanyajeeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
halafu bado kuna watu wanafurahia haya mambo,aiseee
Asante sana mkuu, sasa hivi nakula maisha kama niko Germany vile! Data inaflow kama kawaidaPachika app ifuatayo ktk simu yako. Ifungue na ubonyeze palipo andikwa connect. Baada ya hapo rudi twitter ukale kuku kwa mrija
View attachment 1613177
Mkuu, tutakimbilia waaapiiii?Ni kuwaaadhibu tu kwa kuachana kabisa na huduma zao kwani wamekubali kutumika ili kuficha maovu nchini.
JF natumia kwa vpn bila kuzima chochote
Mkoloni yupo tena mweusi na twaishi nayeTuliwahi mno kumtoa mkoloni hii nchi bado
Ivi ukiwasha vpn ukatuma msg kwa watu ambao hawajawasha wanaziona msg?Hata instagram ilikuwa haifanyi kazi, nimewasha VPN ndo imekubali. Nikitumamsg yeneye maneno kama Kura haziendi, hata kupiga haziendi
Weka server ya USA, Canada, UK au Germany utapata social networks zote walizo block! Tumia proton vpn, vpn master au Hotspot Shield
Mimi niko Nevada,
nauliza wenye iphone tunafanyajeeee
VPN inafanya kazi na vitu vinavyohusiana na internet kama whatsapp, instagram, telegram, browsing. Kama hana tatizo la netowrk atazipokea tuIvi ukiwasha vpn ukatuma msg kwa watu ambao hawajawasha wanaziona msg?
Toa maelezo mzeeTumieni VPN nilikua nahangaika hapa, nikaja kukumbuka ni uchaguzi time lazima figisu zitawale.
Mbona watu wameshaelezea kwenye comments za mwanzoniKaka natumia pc naomba procedure za ku-download VPN Plz
Soma hapo juu nimeandika maelezoToa maelezo mzee