Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Itendee haki nafsi yako kesho ni siku maalumu ya kulipiza kisasi kwa mabaya yote uliyotendewa na Utawala huu dhalimu.

Weka tiki (vema) kwenye jina la mwisho la mgombea, hakikisha hiyo vema ama tiki yako haitoki nje ya kibox (kisanduku).

Pia usitoboe macho kwa mgombea number moja kwa hasira maana kufanya hivyo utakuwa umeharibu kura yako.
 
Itendee haki nafsi yako kesho ni siku maalumu ya kulipiza kisasi kwa mabaya yote uliyotendewa na Utawala huu dhalimu.

Weka tiki (vema) kwenye jina la mwisho la mgombea, hakikisha hiyo vema ama tiki yako haitoki nje ya kibox (kisanduku). Pia usitoboe macho kwa mgombea number moja kwa hasira maana kufanya hivyo utakuwa umeharibu kura yako.
 
Hivi hawa CCMwanaficha nini, nimeshindwa kabisa kufanya kazi zangu kutuma kitu kidogo tu kwa WhatsApp hakiendi
 
niko mexico city naperuzi twitter hadi sio poa
 
Aisee kumbe ni easy tu...niko zangu United kingdom nakula maisha..twitter..niko na UFO VPN.
 
Sina shida na hayo ma vpn kwanza hata sijui kuyatumia. Siku hizi hizo VPN ni rahisi kuwa hacked, acha simu angalia movie. Leo ntatizama movie tu na kesho simu ntawasha mtondogoo
 
DOWNLOAD UFO VPN kisha uje ulete mrejesho
 
Pachika app ifuatayo ktk simu yako. Ifungue na ubonyeze palipo andikwa connect. Baada ya hapo rudi twitter ukale kuku kwa mrija
View attachment 1613177
Sina shida na hizi kwanza kutumia kazi sana, mimi mtandao upo vizuri tu na ukiwa mzito si naacha natizama movie tu. Nakula ugali basi.
 
VPN Master haina vipengele una download unaconnect chap kwa haraka
 

Attachments

  • Screenshot_20201027-115922.png
    20.4 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…