Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Itendee haki nafsi yako kesho ni siku maalumu ya kulipiza kisasi kwa mabaya yote uliyotendewa na Utawala huu dhalimu.

Weka tiki (vema) kwenye jina la mwisho la mgombea, hakikisha hiyo vema ama tiki yako haitoki nje ya kibox (kisanduku).

Pia usitoboe macho kwa mgombea number moja kwa hasira maana kufanya hivyo utakuwa umeharibu kura yako.
 
Itendee haki nafsi yako kesho ni siku maalumu ya kulipiza kisasi kwa mabaya yote uliyotendewa na Utawala huu dhalimu.

Weka tiki (vema) kwenye jina la mwisho la mgombea, hakikisha hiyo vema ama tiki yako haitoki nje ya kibox (kisanduku). Pia usitoboe macho kwa mgombea number moja kwa hasira maana kufanya hivyo utakuwa umeharibu kura yako.
 
Hivi hawa CCMwanaficha nini, nimeshindwa kabisa kufanya kazi zangu kutuma kitu kidogo tu kwa WhatsApp hakiendi
 
niko mexico city naperuzi twitter hadi sio poa
IMG_20201027_105549.jpg
 
Aisee kumbe ni easy tu...niko zangu United kingdom nakula maisha..twitter..niko na UFO VPN.
 
Sina shida na hayo ma vpn kwanza hata sijui kuyatumia. Siku hizi hizo VPN ni rahisi kuwa hacked, acha simu angalia movie. Leo ntatizama movie tu na kesho simu ntawasha mtondogoo
 
Wakuu Salaam:

Ninaishi maeneo ya mjini hivyo kwa vidacom kusumbua siyo rahisi isitoshe mitandao mingine nafungua vizuri tuu, sasa twitter haifunguki shida ni nini?

Nimecheki kifurushi cha internet, nina GB 3, hivyo sielewi shida iko wapi.

Vipi wenzangu huko?
DOWNLOAD UFO VPN kisha uje ulete mrejesho
 
Pachika app ifuatayo ktk simu yako. Ifungue na ubonyeze palipo andikwa connect. Baada ya hapo rudi twitter ukale kuku kwa mrija
View attachment 1613177
Sina shida na hizi kwanza kutumia kazi sana, mimi mtandao upo vizuri tu na ukiwa mzito si naacha natizama movie tu. Nakula ugali basi.
 
VPN Master haina vipengele una download unaconnect chap kwa haraka
 

Attachments

  • Screenshot_20201027-115922.png
    Screenshot_20201027-115922.png
    20.4 KB · Views: 1
Back
Top Bottom