Umesahau juzi TCRA wametoa report kuwa number ya watumiaji internet imeongezeka [emoji3]Watumiaji wa Internet siyo wengi sana hapa nchini kwahiyo hakuna tatizo
Yes mkuu sababu za kisiasa zinakwamisha mpaka shughuli zingine za msingi hata mwendo kasi tickets ni internet hiyo hiyo, sehemu nyingi tu...lakin ndio Serkal ya wanyonge hyo...nilichokiona ni kila Mamlaka inapgania fungu lake kwa hali na mali.Mkuu leo na uzuni wangu moyoni maana moyo wangu hauna raha, ila swali lako nimejikuta natabasam, kwamba wao watatumia Nini, watatumia vpn hizo mnazozitaja,ila zipo huduma nyingi zitakwama mfano kwenye hospital kubwa ambapo matibabu mengi ya wagonjwa, registration,vipimo nk inakuo ni on line
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] off topicUongo wa Chadema mwisho wao ni October
Haki za JF zimehifadhiwatujiandae Jf kufungwa mda si mrefu
😂😂😂 Sawa, ila jiandae kisaikolojia..!We ni k kama k nyingine
Hahahaaaa mlijipanga zaidi ya twitter sio?JF tuko vizuri, acha kutisha watu... tulijipanga kwa hili.
Watanzania kwani hawajui kutumia VPN?Watumiaji wa mtandao wa twitter, Telegram, wanashindwa kupata huduma hiyo kupitia kampuni ya simu ya Vodacom. Tatizo hilo limeanza siku ya leo.
Hizi akili hizi za kujinga sana, kuna wanafunzi wanasoma online na wanahitaji kupata materials, hawa mnawaweka wapi? This is so unfair! BullshitsKama wanaona inasaidia kwa usalama wa taifa waifunge kabisa sio tweeter tuu ata mitandao mingine. Usalama wa nchi hii ni muhimu kuliko hizo tweeter na zinginezo.
Mtandao wa twitter..kwa hapa Nchini umekuwa upo slow na asubuhi hii umegoma kabisa kufanya kazi.. what's happening!
Haihitaji ununue, labda kama unatumia premiumHiyo inataka hela
Watumiaji wa mtandao wa twitter, Telegram, wanashindwa kupata huduma hiyo kupitia kampuni ya simu ya Vodacom. Tatizo hilo limeanza siku ya leo.
Pole naoana wanapiga pini mpaka homeJF yenyewe inagoma kufunguka sasa hvi
Ndio imeanza iko low Sana lohPole naoana wanapiga pini mpaka home