Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Mkuu leo na uzuni wangu moyoni maana moyo wangu hauna raha, ila swali lako nimejikuta natabasam, kwamba wao watatumia Nini, watatumia vpn hizo mnazozitaja,ila zipo huduma nyingi zitakwama mfano kwenye hospital kubwa ambapo matibabu mengi ya wagonjwa, registration,vipimo nk inakuo ni on line
Yes mkuu sababu za kisiasa zinakwamisha mpaka shughuli zingine za msingi hata mwendo kasi tickets ni internet hiyo hiyo, sehemu nyingi tu...lakin ndio Serkal ya wanyonge hyo...nilichokiona ni kila Mamlaka inapgania fungu lake kwa hali na mali.

Yani kama wameambiwa pigana tuchukue kombe uendelee kubaki offisin

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Mtandao wa twitter..kwa hapa Nchini umekuwa upo slow na asubuhi hii umegoma kabisa kufanya kazi.. what's happening!

Ndio tuone aina ya mtu tuliyenaye.. jamani tumepatikana Watanzania. Kesho tufanye maamuzi sahihi, tumtolee mbali.
 
Hata kutuma picha whatapp kwa Leo ni changamoto
 
Back
Top Bottom