Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Kweli mkuu,hii leo ni trela kesho ndo funga kazi huenda hata simu hazitatoka.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Utanyooka tu wewe!Hiyo ni kazi ya kiongozi muovu,na mwendawazimu!
Picha zake zimejaa kila mahali, limeongea peke yake miaka5, limepiga watu risasi limejeruhi na kuua, linatangazwa lenyewe tu kwenye TV na maredio, lkn bado linazima mitandao na litaiba kura!
Limeanza kuua watu, na litaendelea kuua!
Unabeba mabox?Mi niko nje. Majuma mawili sasa, siwezi piga simu Tanzania. Huu ni udikteta kabisa. Wapenda mabadiliko tufikirie plan B. CCM haitoki kwa kura.
Unabeba mabox?
Utaweza kumsugua wakati umeshakimbia nchi wewe ass??Naam. Mamko akitaka kusuguliwa, pia nafanya.
Utaweza kumsugua wakati umeshakimbia nchi wewe ass??
Huku kwa device yangu playstore inasomeka "something went wrong"Jamani, kulikoni najaribu kutumia social media kama Twiter, YouTube. na WhatsApp zinagoma! Ni mimi tu au nanyie, natumia tigo
Twitter imeshapigwa pini.Bila vpn huwez ingia twitter tz
CCM wamegundua nguvu za mitandao zilivyochangia kuwafanya wadode ila wameshachelewa hata wagogo na wasukuma wazee kwa vijana wameikataa CCM watumbafu batale.Mkuu wengi tu wanapitia hilo na si tigo tu hata Voda na mitandao mengine!
Wameshapita nayo tayari man.Leo nimejaribu kuingia twitter lakini naona ina load tuu wala haifunguki. Hili tatizo lipo kwangu tu au kwa maana kuna mtu nimeona uzi wake analalamika Youtube pia haifunguki. What's wrong?!
Nikikumbuka ile 2015 naweza nikasema hata kesho yaweza kujirudia.Na bado kesho ata jf hutaiona
Hakuna kilicho haribika mkuu tutawachinja mapema keshoMliambiwa mnadownload VPN mapema mkadhani wanadanganya!
Ndo kazi uliyopewa Leo? You guys think out of boxUtanyooka tu wewe !
Natumia airtel, tatizo liko pale pale.Jamani, kulikoni najaribu kutumia social media kama Twiter, YouTube. na WhatsApp zinagoma! Ni mimi tu au nanyie, natumia tigo
Usalama gani unaouzungumzia wewe?Laiti mngejua mamlaka zimefanya haya Kwa ajili ya usalama wa taifa letu