Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Hiyo ni kazi ya kiongozi muovu,na mwendawazimu!
Picha zake zimejaa kila mahali, limeongea peke yake miaka5, limepiga watu risasi limejeruhi na kuua, linatangazwa lenyewe tu kwenye TV na maredio, lkn bado linazima mitandao na litaiba kura!
Limeanza kuua watu, na litaendelea kuua!
Utanyooka tu wewe!
 
Jamani, kulikoni najaribu kutumia social media kama Twiter, YouTube. na WhatsApp zinagoma! Ni mimi tu au nanyie, natumia tigo
Huku kwa device yangu playstore inasomeka "something went wrong"

Kiukweli CCM wameiharibu sana maana Uchumi utaanguka sana kwa mitandao kuzimwa

Hivi ni nani aliyewaroga hawa mataga.
 
Leo nimejaribu kuingia twitter lakini naona ina load tuu wala haifunguki. Hili tatizo lipo kwangu tu au kwa maana kuna mtu nimeona uzi wake analalamika Youtube pia haifunguki. What's wrong?!
Wameshapita nayo tayari man.
 
Laiti mngejua mamlaka zimefanya haya Kwa ajili ya usalama wa taifa letu
Usalama gani unaouzungumzia wewe?

Usalama wa kuiba kura na kupora matakwa ya wananchi?

Halafu hawa watu huwa wanadhani hii nchi ni mali ya baba yao au kampuni fulani binafsi.

Hii nchi ni ya watanzania wote. Sio mali ya magufuli au mali ya "usalama wa taifa" (usalama wa ccm).

Waacheni wananchi wachague viongozi wanaowataka!
 
Back
Top Bottom