ALIYETENGENEZA VPN nampa heshima sana maana amenifanya nakula bata wakati wa dhiki hii kuu tunayofanyiwa bila hata kujua n kwa maslahi ya nani hadi wafunge
Ndugu waheshimiwa, tunawaomba sasa muiachie mitandao ya kijamii ili sisi tuendelee na maisha yetu ya kawaida huku mkisherehekea na kujiandaa kuapishwa.