Even TIGOHuu uzi nimetoka kuandika sio muda mkuu sio voda even halotel.
Ile option ya kupewa code chagua iwe kwa email then nenda kafungue inbox utakutaKote huko tayari nimefika verification method,kuna SMS then chini yake kuna bendera unaweza kupata option hapo sasa hapo ndo nipe way forward mkuu
Wakizima kabisa nchi nzima. Hiyo vpn haiwezi kufanya kazi ila wakizima kwa makundi kulenga app muhimu mfano walivyofanya Twitter tutaweza kupata informationsWakizima kabisa hii VPN itasaidia au ndo habari yetu itakua imeishia hapo
Nimepelekwa United Kingdom nakula bata Twitter inafungua mpaka mfupa dadeki πππ
Watumiaji wa mtandao wa twitter wanashindwa kupata huduma hiyo kupitia kampuni ya simu ya Vodacom. Tatizo hilo limeanza siku ya leo.
Hii VPN haitumii bundle?Kwenye VPN inafanya vizuri kabisa.Tumia ProtonVPN
Mie tigo nisipowacha VPN hola,
Nikiwasha wazungu haoo
Kwanini serikali inawafanyia hivi wananchi wake lakin
Saivi uko zako unakatiza karibu na mitaa ya kwa malkiaππππ€£πNimepelekwa United Kingdom nakula bata Twitter inafungua mpaka mfupa dadeki πππ
Hii VPN haitumii bundle?
Line zangu zote haipatikaniWatumiaji wa mtandao wa twitter wanashindwa kupata huduma hiyo kupitia kampuni ya simu ya Vodacom. Tatizo hilo limeanza siku ya leo.