Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Wakisoma tunapeana elimu hivi wataamua kuzima internet kabisa.
Vote out tyrant.
 
Tigo na Airtel pia aise, kwelii nimeamini hii nchi IPO chini ya shetani
 
Kote huko tayari nimefika verification method,kuna SMS then chini yake kuna bendera unaweza kupata option hapo sasa hapo ndo nipe way forward mkuu
Ile option ya kupewa code chagua iwe kwa email then nenda kafungue inbox utakuta
Code icopy upaste pale kazi itakua imeisha
 
Wakizima kabisa hii VPN itasaidia au ndo habari yetu itakua imeishia hapo
Wakizima kabisa nchi nzima. Hiyo vpn haiwezi kufanya kazi ila wakizima kwa makundi kulenga app muhimu mfano walivyofanya Twitter tutaweza kupata informations
 
Hata kupitia tigo hatuwezi kuupata hii ndio serikali ya wanyonge kuwanyima watu haki yao
Watumiaji wa mtandao wa twitter wanashindwa kupata huduma hiyo kupitia kampuni ya simu ya Vodacom. Tatizo hilo limeanza siku ya leo.
 
Naishauri serikali ipunguze bands kwenye mkongo wa taifa kila mtu ajijue...
 
Wadau sijui kama itakua kwa upande wangu au ni sote ila kiukweli twita kwa sasa haifanyi kazi huwez tuma ujumbe au kupokea hata kama una kifurushi cha namna gani yaan ninahis utabir umetimia.
 
Back
Top Bottom