Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Mpaka Telegram nayo imekuwa slowed down, dah
Yeah! Just washa vpn tu inapiga kazi, bila vpn haipatikani nayo tena kama unatumia tigo hata uweke 4G hakuna kitu... Mimi natumia kwa vpn telegram
 
Ni kuwaaadhibu tu kwa kuachana kabisa na huduma zao kwani wamekubali kutumika ili kuficha maovu nchini.
Tatizo sio voda tu. Ni mitandao yote. Naona Tanzania tumeanza kuwafuata wenzetu kama Ethiopia ambao wao huzima kabisa Internet.

Kila mtu adownload VPN na aconnect. Tweeter itafunguka. Mimi nimefanya hivyo
 
Ni kuwaaadhibu tu kwa kuachana kabisa na huduma zao kwani wamekubali kutumika ili kuficha maovu nchini.
🤣🤣🤣 Hii comment imenifanya nigudue kitu leo.

👉Nina hakika kabisa wewe haupo tz, Yani unalichukukia easy tu swala la kuacha kutumia mitandao leading kwa kisingizio cha kutumika kisiasa. Vipi wataoamua kuacha kuitumia utawaletea mtandoo wako?

Hilo halitawezekana mtabaki mkilalama tu, Ila swala la kuicha mitandao ni ndoto😂😂😂
 
Kama wanaona inasaidia kwa usalama wa taifa waifunge kabisa sio tweeter tuu ata mitandao mingine. Usalama wa nchi hii ni muhimu kuliko hizo tweeter na zinginezo.
sasa ungecomment wap kama wangefunga mitandao yote?? pumba******[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
CCM wapumbavu

Wanatamani Kusiwe na Internet kabisa.

Mxiiiew![emoji23][emoji111]
 
Oya sio voda pekee hata Tigo haiwezi ku fungua
 
Back
Top Bottom