Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Baada ya jiwe kutuma message zake za kipuuzi kuomba kura sasa wanafunga njia zote kuhakikisha hakuna mwingine yeyote anayemuiga. Nchi ya kishenzi sana, bado mpo kwenye ukoloni hamjui tu.
Tarehe 28 kuna probability kubwa sana ya JF nayo kufungwa
Kwani mkuu sever ya Jf ipo bongo ,walifunga si unaweza ipata mawinguni huko au
 
sio vodacom tuu, mitandao yote, mimi natumia halotel twitter na instagram haifanyi kazi
Sio hizo tu hata whatsapp wamesrestrict kutuma document,voice,videos tumia vpn kuepuka usumbufu huo
 
Tanzania tumerudi nyuma miaka 60. Watu wanatumia njia haramu za kila namna ikiwemo wizi ili kung’ang’ania madaraka.
Hapo ndiyo ujue kuwa wanawazidi kila kitu isipokuwa wanawaachaga tuu! Pigeni umbea wenu sasa.
 
Wao watatumia nn sasa [emoji3]

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Mkuu leo na uzuni wangu moyoni maana moyo wangu hauna raha, ila swali lako nimejikuta natabasam, kwamba wao watatumia Nini, watatumia vpn hizo mnazozitaja,ila zipo huduma nyingi zitakwama mfano kwenye hospital kubwa ambapo matibabu mengi ya wagonjwa, registration,vipimo nk inakuo ni on line
 
Back
Top Bottom