Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

For the word of God is alive and active. Sharper than any double-edged sword, it penetrates even to dividing soul and spirit, joints and marrow; it judges the thoughts and attitudes of the heart. Nothing in all creation is hidden from God’s sight. Everything is uncovered and laid bare before the eyes of him to whom we must give account.
 
Ni ukweli usiopingika Magufuri ni rais anaependa ubabe sana. Unazima mitandao ya kijamii ili iwaje! Waambie watu uhuru wao. Huo urais ni wao Ndio wamekupa uwaongoze why uwakaraishe! MNYIMENI KURA MAGU. Rais gani anakua anaingilia maisha ya watu kiasi hicho! 28/10 ni leo Kura zote kwa Lissu tuachene na maisha ya kuishi Kama tupo Zizini. Wafuasi wa ccm badilikeni.
 
Salam kwenu ninyi mliochomoka lockdown.

Mwaonaje hii hatua ya kuzima Internet kwa sababu za kisiasa tena siku moja kabla ya uchaguzi?
Hadi waliokuwa hawafatilii uchaguzi wamekatwa kibao wazinduke.
Yani hata ambaye haendi kupiga kura kaguswa moja kwa moja

Kuna kundi kubwa sana la watu mtandaoni ambao kwao mtandao ni kama oxygen ila walikuwa hawana time na uchaguzi! Vipi wakijua chuki kwa upinzani ndio umesababisha haya?

Hasira ninayoiona mitandaoni leo ndani na nje ya nchi haitoiacha ccm salama hata kwa robo point
Upande mwingine jamiiforums nao wanalalamika kupata maelfu kwa maelfu ya mashambulio ya mtandao siku moja kabla ya uchaguzi!.
Washauri na wana usalama fanyeni kazi yenu vyema sababu Tanzania haijawahi kuwa kubwa kuliko dunia. haijawahi kuwa kubwa kuliko dunia
 
Una bahati unabwabwaja hapa JF,hapo ndo ujue Mexence kamzidi akili Coward Magufuli na vibaraka wake.

La sivyo wala usingepata muda wa kuharisha huo upuuzi wako hapa JF.

acha upungasese.hata hizo wasap na twitter mlisema hawawezi zima.

ndio mjue nguvu ya shetani mnayepambana naye.
 
Kwa hii combination ya VPNs mbili lazima TCRA niwakalishe kimya, Pumbafu! [emoji34]
IMG_20201028_004230_951.jpg
400084500078_110953.jpg
 
Njia ni kama ifuatavyo


Kitu cha kwanza jaribu kuingia google kupitia opera au chrome au uc mini au nyingijnezo yaani jaribu kuingia google kupitia hizo njia google ikifunguka tu yaani hakikisha google search inafunguka google ikifunguka kati ya hizo fuata hatua ya 2


Hatua hiyo ni kudownload vpn kwa google unadownload kupitia google kwa sababu playstore au appstore pashafeli download huko kwenye google kisha ukishadownload install

Pia usisahau kuallow installation from unknown sources


Kila la kheri!
Mkuu embu weka link apa Mana kuna moja nimedwnload inahitaji mambo ya kulipia..
 
Back
Top Bottom